Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

yan mi nataka niwape ushauri ndugu zangu ambao hamna kazi,kazi simpaka uajiriwe na serikali au taasis binafsi, yan kila siku utasikia au kuona watu wanasema, sina kaz niko tu nyumban, sasa basi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
'Wakati huohuo, JWTZ limesema baadhi ya vijana walioajiriwa bila kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ndiyo wanaolichafua jeshi hilo kwa kushiriki vitendo vya mauaji ya raia na kufanya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu, vp kuna mtu ameweza kuapply?maana mimi natapa error "access denied" Msaada wakuu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habar wana jamiiforums natafuta kazi popote pale nina certificate ya secretary chuo cha tpsc tabora elimu yangu 4m 4.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
thankx god at last i get what i want!!!may god bless to those who suffer!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani DTB hawajatoka na shortlist bado? mana wiki sasa toka deadline
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mdogo wangu yupo mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, Kozi ya "Procurement and Logistic Supply'. Naombeni msaada wenu. Field zinaanza mwezi wa saba. lakini barua za kuombea zimetoka. Asanten
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Are you someone who is looking for a positive change in your life? , Meet these smart people, so that they can show you an opportunity that can transform your life. Just fill the form and submit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa anaefahamu kuhusu nyongeza kwa wafanyakazi wa serikalini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji kuapply kazi vodacom, Je ni website ipi wanatumia kutoa matangazo ya kazi? Je ni lazima kupitia erolink kwa nafasi zote za kazi vodacom?
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Samahan naomba kufahamu ofisi ya Health Insurance Management Services Organization ilipo mbeya au yeyote mwenye Contact zao maana wameita watu kwenye Interview ila hatupafahamu. Asante sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta kazi sichangui kazi, nina certificate ya business administration nipo tayar kufanya kaz yoyote na ni mtu ambae nafundishika kwaharaka nina uwezo wa kuongea kingeleza vizur. pia waweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
What is competence? How do you measure competence? What is opportunity? How do you take hold of an opportunity? Connect the two
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wana jamvi msaada wenu plz naomba yeyote mwenye kujua chuo kinachotoa koz hiyo hp juu anijulishe plz nataka nikaongeze maujuz kidogo labda angalau 2naweza kunyakuliwa,natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
NAFASI ZA KAZI Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kufanya customs entry Awe na uzoefu wa kufanya customs entry kwa ajili ya exports. Mshahara ni £11.50 kwa saa 40HRS per week Nafasi hii ni...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
wana jami forum nina kampuni yangu ya kuprint tshirt na kutengeneza vitambulisho kama vya wafanya kazi, mashuleni na pia stunasupplay office equipment na office stationaries.naombeni tenda jamani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
JOB ADVERTISEMENT Global Skill is a Registered Recruitment Agency offering permanent and interim / contract services and providing complete recruitment solutions, sourcing and supplying quality...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msaada wa kazi ya saloon,supermarket,au yeyote ile iliyohalali!umri 21,chuo, mkoa dodma!mwenye msaada nami pllz ni pm!natangukiza shukran
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Katika tovuti ya TRA kuna kazi zimetangazwa wanadai application ni online lakini ukijaribu kufungua application form wanakwambia access denie. Je wamefanya hivyo kuzuga Watanzania kwamba...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada juu ya kushinda interview hasa ya oral kwani kwangu limekuwa tatizo nimeshafanya interiview nyingi lakini zote nimeshindwa kwani mpaka sasa bado nipo nyumbani mfano mzuri...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Back
Top Bottom