Natafuta mwalimu wa sekondari anayetokea mkoa wa Pwani ambaye ninaweza kubadilishana nae kituo cha kazi. Yeye aje moshi nami nije pwani. Mimi nafundisha masomo ya Maths, Geograph na Commerce kwa...
Job Title: Marketing and Sales personnel.
Position Description:
The qualification and skills
Related Diploma or certificates.
The candidates should be in the position of learning quick...
natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........
kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
Position Description:
we are looking for a reliable and experienced dog sitter who is willing to commit full time in taking care of a two years old dog from 12th of June to 8th of July..
minimum...
Nina Diploma ya Biashara ambayo niliipata mwaka 2010 katika chuo cha Uhasibu Tanzania( T.I.A). Toka muda huo sijawahi kupata ajira.
Ni mwanadada umri miaka 26. Nimekuwa nikiuza duka na kufanya...
Members,
We are at Mwanza with our great leader in business for three days, from sunday 05 may to tuesday 07 may 2013.
Our company is expanding globally and we are looking for brand new...
Naombeni kujua ni lini jwtz wanachukua intake ya professionals kwa 2013 lini? Kwa taarifa nlizo nazo ila ninashaka nazo, ni kwamba hadi mwezi wa sita. Naombeni ufafanuzi zaidi kama ndivyo au la
Hi,
I am 21-year-old male, a first year university student pursuing a Bachelor degree in English Linguistics.
I am desired to work for a part time with any organization, during the forthcoming...
WAFANYAKAZI wanne wa Benki ya Access Tawi la Manzese, jijini Dar es Salaam, jana walipandishwa kizimbani, kwa kosa la kuvunja baa na kuiba fedha taslimu Sh milioni 1.9. Wafanyakazi hao...
Hamjambo? Nipo Morogoro sasa,na shahada yangu ya Ugavi na Manunuzi toka TIA(2012). Tayari kufanya kazi kwa kujitolea "bila utata" ili kumsaidia mtoa kazi na mimi mwenyewe. Nzuri zaidi ni...
Jaman ee me nimesomea couse ya maendleo ya jamii pia nimesomea computer kwa hyo natafuta kazi mahali popote.au km kuna kaz nyngne yeyote unayofaham ntarifu by email:-bkmungure@gmail.com