Natangaza kujitolea kufanya kazi "bila utata"..!

Natangaza kujitolea kufanya kazi "bila utata"..!

mtata mtatuzi

Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
44
Reaction score
10
Hamjambo? Nipo Morogoro sasa,na shahada yangu ya Ugavi na Manunuzi toka TIA(2012). Tayari kufanya kazi kwa kujitolea "bila utata" ili kumsaidia mtoa kazi na mimi mwenyewe. Nzuri zaidi ni itayoniruhusu kuwa karibu na jamii,na isinibane sana(maana na me nna yangu baada ya kazi).

Haya,karibuni
 
mtu wa ugavi na manunuzi akajitolea? ....LoL.... 10% za purchase hutachukua?
 
tatizo kubwa la kazi yako ni sensitive sana na maslahi ya wapenda rushwa. watu wa namna hiyo wanakua na mashaka kwamba uta unlock mechanism zao za njia za wizi.
lakini pia unaweza kujitolea kidogo nje ya hiyo profession kama kufundisha ndo itakua rahisi sana kupata sehemu . mi nilipo hitimu degree yangu ya kwanza baada ya kujaribu kutafuta kazi na kugonga mwamba on several attempts, nikaamua kwenda remote area kufundihsa kwa kujitolea na nilikua nifundishe A level economics na Basic applied Maths lakini nilipo fika pale hata O level hawakuwa na walimu na walio kua nao walikua hawajalipwa kwa kipindi kirefu so walikua very demotivated. Nilikua napiga mzigo wa kufa mtu kuanzia form three na kwenda juu. yaani masomo yote ya sanansi na A level masomo tajwa hapo juu. walimu wa A level walio kuwa wanakuja walikua hawakai hata wiki. mimi A level nilisoma sayansi na chuo biashara. kwa hiyo nilikua na uwanja mkubwa wakufundisha karibu kila somo kutoa lugha na history. kwa kweli nilipendwa sana sana. madogo waliosha sana hasa kemia kwenye CSEE. wakati niko huko maporini kuna ka-application kamoja nilifanya katika mashirika ya kimataifa. kumbe jamaa walianitafuta after sometime for so long lakini kule nilikokua hakukua na coverage nzuri ya simu huko na kimsingi binafsi sikua na simu. siku ya mwisho kabisa ili wa give up nikapatikana na kwenda kwenye interview na kuitwa kazini siku mbili baadae. Tena zilikuja multiple hot jobs na zingine nilikua recommnded na watu wazito waliokua connected na board ya hiyo shule lakini mimi sikujuana nao kabisa awali mmojawapo akiwa Askofu wa jimbo tena wa dhehebu lisilokua langu
Mtumikie Mungu nae Mungu hatakuacha kabisa. Hata leo hii nikipata ample time lazima nifundishe just for fun
 
Back
Top Bottom