Nina HASIRA!

babulakibaha

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
287
325
naomba kufaham,hv matangazo ya nafas za kaz magazetin ni kweli au janga?mm ni dereva wa fuso na nmeomba sehem kbao,cv saf au hawatak ss?:angry:
 
Kuwa na moyo wa subira kaka. Ipo siku Mungu atakupa haja ya moyo wako.
 
We tayari una kazi. Achia wasio na kazi maana wapo wanaotafuta hata kuendesha baiskeli ilimradi tu wawe wameajiriwa, we wa fuso si uko vizuri ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom