Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wadau kuna tetesi kuwa nafasi za Proffesional kwa jwtz zimetoka je kuna ukweli wowote?! Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nauliza endapo Jwtz watachukua vijana mtaani baada ya hawa 192 kugraduate majuzi? Kumekuwepo na tetesi za kuandikisha hapo january je inakuwaje? Mwenye taarifa atujuze!
0 Reactions
22 Replies
9K Views
wadau mwenye update za polisi interview lini? tujuzane wakuu..
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani tuwe macho na matapeli katika ajira. Mimi nimenusurika. Hebu soma hii: Siku moja nilipigiwa simu na mtu mmoja aliyejitambulisha kuwa ni Dr Joseph Mwakabonga kutoka WHO, Tanzania. Alijifanya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Je unapenda kuongea na watu, kujipatia marafiki wapya? Je unapenda kuendesha biashara yako binafsi? Je unataka kipato kitakachokuweka huru? Tukutane Makumbusho ya Taifa, Jirani na IFM. Tarehe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani walofanya ttcl call centre representative walishaitwa?...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamvi naomba mnisaidie kujua mshahara wa mtu mwenye acconting technician certificate level 2 ya bodi ya taifa ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
PROGRAMME FINANCE ASSOCIATE Location : Dar es salaam, TANZANIA Application Deadline : 30-Sep-13 Additional Category Management Type of Contract : FTA Local Post Level : GS-6 Languages...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nimekuwa nikifanya interview na wazungu mara nyingi nakutana na extra-ordinary circumstances. mathalani juzi nimeitwa interview moja ya senior position, nikajikoki na tai na takataka zote kufika...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Watuwekee marks zetu pia iwepo nafasi ya kuzihakiki pale umuhimu utakapo kuwepo! Wakati test zinafunguliwa wanatuonyesha ila kinachockitisha baada ya kufanywa kinachoendelea ni GIZA NENE kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mambo vipi wadau? kuna dada yuko pale mapokezi TBL mbeya huyu dada bwana akipelekewa cv au barua za maombi ya kazi huwa hazipeleki sehemu husika huwa anazichukua kwenda nazo nyumbani na kuchoma moto
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama nilivyo eleza hapo juu nina certificate of procurement and logistics management ambayo nilisoma chuo cha uhasibu ( TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANT.(T.I.A),lakini kutokana na matatizo ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu.naomba kuuliza, hivi ktk ofisi kama kuna mtu kaenda likizo halafu yale majukumu yake akapewa mtu mwinginewe ambaye nae ana majukumu yake,then hua kunakua na posho yyte ktokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu the great thinkers! Mimi nina degree ya uchumi ya pale mlimani,nina shauku kubwa ya kutaka kujiunga na jeshi JWTZ japo nasikia nafasi ni adimu sana kupata,,lengo ni kutaka kuuliza hivi...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Habari zenu,natafuta chumba cha kuishi,kiwe katika maeneo ya Mwenge,makumbusho na hata victoria,tuwasiliane kwa 0772 28 47 48
0 Reactions
0 Replies
2K Views
haya wadau nafasi za kazi Mpanda-Katavi. Lake Tanganyika Cooperative Unions
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Natafuta mtu aliyesoma advanced diploma au degree ya insurance na mwenye uzoefu wa angalau miaka mitatu katika field ya insurance ili awe principal katika kampuni ninayotaka kufungua! Inahitajika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Back
Top Bottom