FUKO LA DHIKI
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 463
- 146
Natafuta mtu aliyesoma advanced diploma au degree ya insurance na mwenye uzoefu wa angalau miaka mitatu katika field ya insurance ili awe principal katika kampuni ninayotaka kufungua! Inahitajika cv yake na copy za vyeti! Kwa aliye tayari anipm!