Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu kwa yoyote anayejua wapi zilipo office za shirika la railway children branch ya mwanza naomba anielekeze!.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu, nimeambiwa kuna nafasi ya kazi kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana tar 19, ukurasa wa tano, mwenye uwezo wa kutupatia page hiyo tafadhali naomba msaada wako wa scanned au...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wandugu.. Jamani naomba msaada wenu wanajamvi. Nimeitwa kwenye interview Bank of Baroda post ya "Credit and Operations" na sina hata idea ya kitu cha banking na nimeunganishiwa tu hiyo...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Position1:Principal of a college Qualifications Must have master degree in Arts or Science Experience: Tutor/lecturer(Teaching experience of 3yrs or above) Should have leadership experience of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I'm looking for a job as Sales/ Marketing and Administration Officer/Executive, I have a bachelor degree( Administration) , i have 3 years experience working in sales/ marketing/ and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
watu ni wengi yapata kama elfu 3.tumekaguliwa vyeti,ss tunasubiri mtihani.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau naomba anaeitambua namba hiyo +255262604828 anijuze mana nimekuta miscal. Nasi tulituma application tunapokuta namba mpya za cm za mezan tunajua labda umeitwa sehemu. Nimejaribu kuipiga...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa yeyote mwenye kujua ama kunielekeza nitapopata msichana wa kazi (house girl) anisaidie. Ni sana kwani mke wangu hana muda mrefu atajifungua hivyo angekuwa msaada mkubwa sana. Mshahara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habar wana jf, nasaka tena job baada ya kuwa terminatedmwezi june.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari jf. Ninatafuta kazi tajwa hapo juu. Nina experience ya 2 yrs. Na Nina degree ya business administration. Kwa yeyote ani PM. Asante.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye namba za simu nmb makao makuu naomba anisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa kama kuna mtu yeyote anamahitaji ya solar kuanzia vifaa hadi installation tafadhali tuwasiliane kwa namba 0767670155/0655670155.... ajira hamna jamani bora tujaribu kujiajiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HR
THE BRANCH IS LOCATED AT SAI STREET,MWAKIBETE IN MBEYA LOOKS FOR THE HR WITH: 1.SELF AWARENESS 2.MALE YOUTH 3.LEAVING IN MBEYA 4.AT LEAST ONE EXPERIENCE 5.CAN ABANDON HIS HOME AND LIVE IN THE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mimi ni mtanzania nina miaka nina shahada ya computer science......jamani kwa wenzangu mlioko makazini hebu tupeni mbinu mlizotumia kupata ajira na sisi tunaweza kutusaidia maana kama 1.kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf msaada wenu jamani Nimesomea uhasibu natafuta kazi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WEDAC ni Shirika lililopo Mkoani Arusha linalojihusisha na utoaji wa huduma za kifedha kwa wamama wa jasiria Mali vijijini. WEDAC inanafasi mbili kwaajili ya Assistant Credit Officers. muombaji...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Siz Kitaa ya CLOUDS TV inamtafuta MKALI WA KUPIGISHA STORY KIJIWENI kwako baada ya Mishemishe zenu so km kijiweni kwako kuna jamaa ambaye ni mkali wa kupigisha story za kuchekesha/kufundisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau mwenye taarifa kuhusu usaili wa LAPF tafadhari atujuze maana ni muda mrefu sana umepita
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zoezi la kupiga picha wananchi ili wapewe vitambulisho vya taifa limenishangaza sana hususani kile kipengele cha mtu kuulizwa KABILA lake. Hapa Tanzania hususani katika Majiji makuu watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa wale waliofanya interview ya internship TCC mwez uliopita hakuna walioitwa. msaada kwa mwenye news
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom