Nafasi ya kazi ya udereva.

Nafasi ya kazi ya udereva.

mathiusxvi

New Member
Joined
May 8, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Trans mathius network ni kampun inayohusika na usafirishaji wa mizigo ndan na nje ya Tanzania katika nchi kama Kenya,Uganda,Malawi,Congo kinshasa,Congo brazaville,Rwanda na Burundi.Usafiri wetu ni wa uhakika,na ofisi zetu zipo Mabibo oppsite na chuo cha usafirishaji(nit) Dar es Salaam.Tunayo furaha ya kutoa nafasi 5 za kazi ya udereva wa magari ya mizigo
vigezo:
-muhusika awe na lesen mpya ya udereva clas E au C
-awe na uzoefu usiopungua miaka 2
-awe na makazi maalum
-awe na wadhamini wawil walioajiriwa serekalini
MAWASILINO
+255652121219
+255755895574
email:mathiusxvi@yahoo.com
WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA OFISI ZETU KWA MAELEZO ZAIDI
 
Back
Top Bottom