Wana jf,
napenda kuwakaribisha wote mnaopenda
kujifunza ujasiriamali kushiriki mafunzo ya
siku 3, ya biashara yatayofanyika kuanzia
tarehe 13 hadi 15 decemba katika hotel ya
victoria palace...
You must be:college educated,or form 6 leaver with hotel or restaurant experience or education.You must be a lady aged between 20-30yrs and attractive,hardworking and with good customer...
Jamani naombeni
Msaada wenu Wanajukwaa wenzangu! Maisha ni magumu mtaani saana, nina Certificate
of PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT, Pia naweza kutumia Computer kwa ufasaha. Naomba...
Habari wana jf, mim ni kijana nimegraduate mwaka huu chuo kikuu mzumbe, ICT management, natafuta kazi ya kujitolea ofisi yoyote Dar-es-salaam, bila mshahara ila nitahitaji posho kwa ajili ya lunch...
Jamani wanandugu mimi naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi zaidi na nitaitwa kazini...
jamani ndugu zangu wapendwa kwa wanaokaa Dar. natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta/Namanga/Basihaya.
ndo kwanza nataka kuanza maisha ya kupanga nilikuwa naishi kwa wazazi so naitaji...
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.
natanguliza...
Wadau jf
Mimi ni mwalimu mwenye diploma,nimefundisha miaka mitatu baadae nkaenda UDOM nkasoma kozi ya BACHELOR OF ADULT EDUCATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT na niliichagua kozi hii kwa kuipenda...
Jamani....unaweza kupata pesa ukiwa nyumbani umekaa kwa kujiunga na hii link. The Perfect App
Maelekezo mpaka unapata pesa zako yapo hivi.
1. Jiunge na hiyo link....kujiunga ni bure
2. Baada...
For people who are in Dar es Salaam and wish to study Mathematics at home, this goes for;
01. A-level Mathematics/Pure Maths.
02. O-level Mathematics/BAM
03. QTs and all who take Maths related...
Muombaji awe na sifa zifuatazo
Umri 20 – 28 yrs
Jinsia wa kike
Elimu Form 4 au Form 6 (awe ana uwezo angalau wa kubabaisha kingereza)
Makao awe anaishi Dar es salaam...
MAZHIM T LTD, WATAALAMU WA COOLING SYSTEM WANAKULETEA OFA MAALUM KWA AJILI YA X-MASS NA MWAKA MPYA FIKA OFISIN KWETU SINZA MAPAMBANO ULIKO UKUMBI WA PRINCES NA ANGALIA TATIZO LA AIR CONDITION...
habari jf, kama wiki mbili zilizopita ilitangazwa nafasi ya research assistant tmarc songea na mtwara, vp walishaitwa watu kwenye interview mwanye taarifa anijuze tafadhali, natanguliza shukran.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.