Natafuta kazi ya kujitolea

Natafuta kazi ya kujitolea

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,974
Reaction score
1,210
Habari wana jf, mim ni kijana nimegraduate mwaka huu chuo kikuu mzumbe, ICT management, natafuta kazi ya kujitolea ofisi yoyote Dar-es-salaam, bila mshahara ila nitahitaji posho kwa ajili ya lunch na usafili tu. Katika ICT/IT niko vizuri zaid katika mambo ya web development , networking, na database. Natafuta nafasi ya kujitolea kwa sababu kwa sasa sina ajira na hivo nahitaji kupata sehemu ambayo nitafanya kazi na kupata exiperience na kujifunza mambo mengine.
Email: nyon1988@gmail.com
phone:+255768277927.
 
That's goood! That is what we want to hear from you graduate! Big up utafika mbali kaka kila la kheri sio kukaa kulalamika,acha watu waone uwezo wako
 
Degree inatafutwa kwa pesa wewe pamoja na effort kibao alafu unataka mwenzio afanye kazi bure
Thats is good that is what we want to hear. what you want with whom?
 
clouds fm wanatoa elimu kuhusu kamata fursa twenzetu
 
Back
Top Bottom