KUHUSU BENSON INFORMATICS (BOL) company

KUHUSU BENSON INFORMATICS (BOL) company

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
1,789
Reaction score
1,606
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.

natanguliza shukrani mujarab....:dance:
 
We nenda kwenye interview halafu waulize watakweleza tu
 
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.

natanguliza shukrani mujarab....:dance:

vipi ulipata vipi uli apply online..? au ulipeleka cv
 
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.

natanguliza shukrani mujarab....:dance:
kama wamekuita kwenye interview inamaana walitangaza nafasi za kazi na kuweka "package" zao. Ulitumaje maombi bila kujua wanalipaje? Je ukienda ukakuta kazi ni ya kujitolea?
 
kama wamekuita kwenye interview inamaana walitangaza nafasi za kazi na kuweka "package" zao. Ulitumaje maombi bila kujua wanalipaje? Je ukienda ukakuta kazi ni ya kujitolea?

nilituma cv mkuu...siku mingi
 
COMPANY PROFILE
BENSON INFORMATICS LIMITED, Founded in January of 2000, is a multidisciplinary strategic consulting and technology company providing services to Corporate, Government and Civilian clients in the country. Ever since its inception Benson Informatics Limited has been at the forefront of communication innovation. The introduction of the first Nomadic High-speed Wireless Internet connection in Africa is a testament to the company's commitment towards the incorporation of the latest technologies. With a seasoned, internationally experienced management team, strong technical capability and professional delivery management system, Benson Informatics Limited is well poised to take on challenges in the ever growing telecommunications market.
Benson Informatics Limited has established itself as one of the most successful Internet Service Providers in Tanzania through its brand BOL, What distinguishes us from other companies is our commitment to our core values - an ethic of honesty and service, quality work and customer satisfaction, and caring about our people. In a very real sense Benson Informatics is a 21st century, high technology Company guided by ancient African values: trust, integrity, determination, moral courage, service, tradition, and family. Living and working by these values makes a difference – one that our customers notice. Some say such values are no longer fashionable; we say they are fundamental to our success. We are committed to maintaining these values as a cornerstone of our business.

::BOL::
 
Nipe email ya hr nami nitume cv

Inasikitisha! Umepewa webpage yao lakini bado unataka upewe na email. Ni kiasi cha kufungua ukurasa wao unapata kila kitu.

Anyway,

CAREER

Looking to become part of our ever growing family? BOL is always ready to welcome dedicated and talented people into its exciting and equally challenging organization. With us career growth is a definite guarantee. For current openings email the HR Department at career@bol.co.tz
 
Wakuu habari, kuna yeyote anayejua kuhusu Benson Informatics (BOL) profile yao na namna wanavyolipa na kuwajali wafanyakazi wake, wameniita kwa interview jtatu ofisi zao za mikocheni.

natanguliza shukrani mujarab....:dance:
Mi waliwahi kuniita kwenye Interview lakini nilishindwana nao maana wanajifanya wanataka mtu professional lakini hela yao ya mawazo wanabana
 
Naskia wanataka Territory Managers (Sales),District Managers (Sales) cha ajabu wanatoa Bajaj au Pikipiki kwenye nafasi hizo.
 
Nina mtu wa jirani alifanya kazi nao, akashindwana nao.ofisi zina endeshwa na wahindi na kucheleweshwa kulipa mshahara ni kitu cha kawaida pale.
 
haa, nimeshapiga chini interview yao...wacha niendelee kula mshahara wangu wa sasa, nafasi kwa wengine
 
Nina mtu wa jirani alifanya
kazi nao, akashindwana nao.ofisi zina endeshwa na wahindi na
kucheleweshwa kulipa mshahara ni kitu cha kawaida pale.

Kweli kuna mdau mmoja anafanya hapo alikuwa analalamika sana kuhusu ilo,check mkataba wao vizuri pia kukupiga chini any time hawachelewi...
 
Back
Top Bottom