Pccb na watu wa electronics

Pccb na watu wa electronics

R-one

Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
85
Reaction score
26
habari zenu wadau wa jf

Hivi majina ya watu waliosomea electronics and telecommunication engineering amesaulika au ndo yamefungiwa ktk droo ingawa nafasi zao zilitangazwa pia ktk investigation officer, msaada hapo wadau tujuzane.
 
Poleni sana!
 
Hawa jamaa si makini hata kidogo watu hawajatuita wakati tuna vigezo mimi na radiki yangu tulituma tena kwa EMS wametuchinja
 
Poleni sana ila sina uhakika kama category yenu niliiona nahisi niliwaona computer engineering and IT
 
Back
Top Bottom