Kazi osha -tanzania

Kazi osha -tanzania

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba msaada, mnijulishe kuwa salary scale OSHA SCALE - 7.1 ni shilingi ngapi?
Nimeona tangazo la kazi, naona nina vigezo vyote vinavyotakiwa na vya ziada.
Hofu yangu isije ikawa ni pesa ndogo kulinganisha na HADHI YANGU - nd'o maana nahitaji nijue kwanza wanalipa shilingi ngapi kabla sija-apply halafu waniite nikute mshahara wa ajabu niwakimbie, si tabia nzuri.
 
Back
Top Bottom