Sales person and Loan officer wanahitajika

Sales person and Loan officer wanahitajika

Joined
Feb 14, 2015
Posts
46
Reaction score
38
Habari
Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) na Loan offer wenye Uzoefu.
Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako.

Piga / Whatsapp 0754397178
 
Kupiga simu ndugu sio shida ,shida watu wanaogopa habari za kutekwa kienyeji embu weka details za kuweza kumshawishi mtu akupigie au akuwhatsapp .

Ni kampuni
Uko mkoa gani ?
Je wahitajika ni lazima elimu au kikubwa uzoefu .

Vipi jinsia zote ?
Ni hayo zingatia upate wamba walionyooka ,puuza ukutane na matapeli
 
Tangazo limekaa hovyo hovyo Jina la kampuni hata kama ni ndogo. Mahali ilipo au eneo la kazi hujataja
 
Habari
Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) na Loan offer wenye Uzoefu.
Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako.

Piga / Whatsapp 0754397178

Wewe ni Member mgeni au uingia na ID ya kutapelia watu?

Kama huna unachoficha wala huna baya ulilokusudia basi, Tangazo lako linaakisi uwezo wako, madhaifu yako na ya ofisi yako.
 
loans Officer mzoefu ummlipe 300k-400k kwel ni unatania Yani hiyo amount ni kwa Junior loans Officer Tena yko probation kwenye industry ya mikopo hicho kiasi ulichokiweka utapigwa ndugu
 
Back
Top Bottom