Habari za wakati huu wanajamvi
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nakuja mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa kabisa kuomba koneksheni yoyote ya kazi.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye...
Leo tumepiga oral pale gaming board.
Jamaa wako vizuri,interview ilikua iko organized vizuri tu kwa kweli.
Kimbembe ni maswali yao ni magumu sio poa, panelist walikua 10 afu makauzu hawacheck na...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25, muhitimu wa shahada ya ugavi na usafirishaji mwaka 2019 (Bachelor of Logistics and Transport Management) mimi ni moja kati ya vijana ambao...
Habari zenu wana jamvi,
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikitamani kujiunga na tasnia ya udereva particularly udereva wa malori (truck driver), nilikua naomba kujulishwa mshahara wa dereva wa...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima.
Bila kupoteza muda Niende kwenye mada kuu...Ni wazi kabisa kwamba Mimi nasumbuliwa na changamoto ya usikivu (tinnitus) "hali ya kusikia sauti...
Vijana 6 wakufanya nao kazi
SMARTWORK
Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo.
Malipo ya juu 30,000 kwa siku
Maripo ya chini 10000 kwa siku
Kama upo tayari...
Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.
Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.
Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza
Nimekuwa...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira...
Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya.
Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na...
Wauguzi wenye sifa na vyeti waliohitimu vyuo vinavyotambulika hapa nchini kuanzia 2018--2024 kwa kazi ya kujitolea na kupata uzoefu ,kwa mkataba wa kulipwa nusu mshahara kwa muda wa miezi sita'...
Huyu mshikaji wangu nashindwa kumuelewa,tuko nae kwenye harakati kitambo tu ila naona ni kama kaanza kuwa na roho ya kichawi hivi.
Yeye ameanza hizi harakati za kupiga paper za ajira za serikali...
Habari za muda huu watu wa JF.
Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale
Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree...
Kiukweli wakuu, mimi ni mmoja wa watu ambao kwa sasa nazipigania hizi ajira za u tutorial assistant kwa kiu kubwa sana.
Ni kwamba nipo kwenye private sector lakini ki uhalisia kabisa baada ya...
Dogo ni mwalimu idara ya msingi,
Majina yake ya vyeti vyote ni MARIAM ELIAS (mfano)
Majina ya Nida ni MARIAM ELIAS MMASA.
Wakati wa kuomba ajira Tamisemi details zilikubali vizuri kabisa na...