Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau wa JF ,naomba mnisaidie ni hatua gani za kufata kuweza kusajili na kumiliki kampuni ya mikopo ,pia ni gharama kiasi gani zinahitajika mpaka kukamilisha kabisa usajili wake .....
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa waliopangiwa mwalimu wa somo la biashara daraja III C wilaya ya sengerema naombeni mnipe highlight kidogo naenda kuripoti next week 🙏
0 Reactions
3 Replies
460 Views
P.o. Box 4278,Mbeya labaisa46@yahoo.com 14/05/2025 Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya vifaa vya ujenzi : Tanzania YAH: MAOMBI YA KAZI YA KUJITOLEA KUTANGAZA BIDHAA ZA KAMPUNI ZA VIFAA VYA UJENZI...
2 Reactions
2 Replies
482 Views
Habari! Poleni na majukumu na hongereni pia. Mimi ni kijana mtanzania (28) Nina Elimu Ngazi ya shahada. Ni kijana mpambanaji, mwaminifu na Mwenye hofu ya MUNGU. Ninatafuta fursa kutoka Kwa...
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Kama kuna mtu anaitaji kijana wa kumenya chips na kuuza au biasha kuumuuzia nipo dar ..swala la uaminifu mpaka kwa mjumbe
2 Reactions
0 Replies
197 Views
Hi every body My name is abdulrazaq Am in dsm (mbezi msuguri) Am looking for any job during this time of waiting my results Thanks 0718130370
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Hello JF family. Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine. Sihitaji kazi...
10 Reactions
55 Replies
3K Views
Serikali imatengaxa ajira za ualimu 2024 zaidi ya nafasi 11,000 fungua PDF kuona --- TAMISEMI wametangaza Ajira za walimu 11,015. TANGAZO LINASEMA HIVI: Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika...
17 Reactions
1K Replies
96K Views
Kuna interview ilofanyika tarehe 26 mwezi wa 4 pale DUCE.Hawa Jamaa wakaahidi kutoa majibu hapa karibuni Ila hawajafanya hivo mpaka Leo. Ni vema wangetoa matokeo mapema maana kuna watu tumetoka...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari wakuu...jana usiku ajira portal walipost kazi za foreign service officer lakini leo asubuhi wakazitoa ghafla kulikoni?
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Dereva Uber/Bolt Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Wakuu habari. Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu. Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba...
2 Reactions
3 Replies
489 Views
Wakuu Niko nyavuni na hawa jamaa wa utumishi,by 14 June natakiwa kupiga written ya admission officer ii mwajiri ni NACTEVET. Mwenye kujua maswali ya written wanayouliza hawa jamaa wa utumishi...
0 Reactions
5 Replies
724 Views
Hivi wakubwa Hizi oral za serikali ni lazima kujibu maswali yote kwa ufasaha au ni kitu gani kingine huwa wanaangalia ili kuweza kukuita kazini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani habari za muda huu.. leo kijana wangu alikuwa kufanya usaili wa kuandika chakusikitisha zaidi kaludi analia anasema kama ndo utungaji huu basi kupata kazi ni kazi. Nikamuuliza, kwani...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wiki iliyopita Jumaanne ilikua ni deadline kwa nafasi za Technicians pale Princess Casino Kuna yeyote humu kashapokea simu ya kuitwa kwenye usaili ? #Wasiwasi ndo akili
0 Reactions
2 Replies
835 Views
MAN TO MAN – TUSAIDIANE NDUGU ZANGU Wanaume wenzangu, hebu tusemezane kama wanaume wa kweli. Kila siku tunahangaika, lakini wapo wenzetu wana ka-michongo kazuri kenyeweza kumtoa mtu mtaani hadi...
2 Reactions
0 Replies
190 Views
Salaaaam wana JamiiForums Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu.. Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023 Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…