WaKalimani WA kichina Fursa hii

WaKalimani WA kichina Fursa hii

Ally Abdulrahman

Senior Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
196
Reaction score
319
Habari za leo ndug zangu hope mko poa, Nina habar njema natafuta Wakalimani(Translators) wanaojua lugha ya kichina vijana kama sita ivi kazi yao kutafsir watakuwa na hao wachina ambao hawajui lugha yyte zaid ya lugha yao, working station ni Tabora

Salary 1.5ml mpk 1.6 ml per month pia overtime zipo, Malazi juu yetu,chakula kama mpo au wapo available wanichek tafadhal hata mda huu ili kesho niwaconnect HQ asubuh ahsante[emoji120]

Contact 0713 297155
 
Hauhitaji tunaojua Kiarabu?
 
Hili tangazo linazunguka tangu last week.. Lakini kwa hali ilivyo sasa hata kupata freshers ni ngumu kwa huo mshahara
 
Hao jamaa hawako serious.Niliona pia tangazo group la Tanzania diaspora in China,few minutes wakati limewekwa.Nikawafowardia vijana wangu wa nne waliosoma China na wako Tanzania,wamewacheki direct na whatsapp hawaja respond chochote.
Pia mshahara mdogo sana,lakini kwa mtu ambaye anataka adventure tu sio mbaya.
 
Hili tangazo linazunguka tangu last week.. Lakini kwa hali ilivyo sasa hata kupata freshers ni ngumu kwa huo mshahara

Ndugu yangu nilikusoma uzi mmoja kuwa viwanda vya kichina rahis upelekwe na mtu na sio ujipeleke mwenyewe kuomba kazi.

Ninaomba kama una connection ya viwanda,itapendeza iwe zaidi ya kimoja maana nina ndugu wamesoma china wako 4,nataka wajaribu bahati sababu walichosomea hawakitumii.

Wanapatikana kimara mwisho so nadhan viwanda vya pwani itakuwa rahisi.

Shukran
 
Pouwa wapige number hii +255756017777 waseme Daniel ndio kawa introduce
 
Back
Top Bottom