Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science. Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Boss wangu Karbu tukutengenzee vibanda vya biashara km restaurant au pub. Tukutengenzee kwa muonekano wa kasasa kuanzia Banda Hadi viti.. Pia kwa wale mnaotaka vibanda vya juis au fremu ila...
1 Reactions
4 Replies
435 Views
Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi...
3 Reactions
73 Replies
4K Views
Hello naomba tudiscass kidogo kuhusu izi position mbili Afisa mipango miji (town planner) na afisa mazingira (environmental officer) ikitokea umepata nafasi uchague kazi moja kati ya izo...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Kama ilivopangwa leo usaili umeanza kwa kada ya afya Aya njooni mtupe update mtihani ulikuaje, mazingira ya mtihan n.k
3 Reactions
90 Replies
9K Views
Habari wakuu, kama nilivyosema mimi ni kijana wa kiume, umri 19, nipo Tarime. Mara nimemaliza form four na kupata divisheni three. Pesa nimekosa za kuniendeleza, na kazi nazotafuta ni: 1. Dukani...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Anonymous
Naomba sauti ya ujumbe huu ifike kwa Katibu Mkuu / Waziri wa TAMISEMI juu ya Mchakato wa uhamisho kwa Watumishi kwani tunakoelekea naona rushwa ndio njia sahihi ya Mtumishi kufanikisha uhamisho...
3 Reactions
4 Replies
578 Views
Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es...
1 Reactions
8 Replies
824 Views
Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community...
3 Reactions
3 Replies
503 Views
Habari wapendwa. Anahitajika Dada wa Kazi (nyumbani). Location: sinza. Mshahara : 70elf Kukaa kwa Boss Kama upo Dsm Nipigie 0627776134
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Tiba asili ndio mkombozi wa waafrica. Allah Yesu Ni matokeo ya ujio wa wageni. Hii hapa njia ya kupata connection au ajira direct. Mtalaamu anakuitia jini unaingia mkataba nalo likutafutie...
3 Reactions
10 Replies
560 Views
Greetings Members, I hope you are all doing well. My name is Maduhu Joseph Manyanya, a recent graduate with a Bachelor of Science in Taxation from the Institute of Finance Management (IFM). I am...
0 Reactions
8 Replies
895 Views
Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari Umejaribu kutafuta matibabu?
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Watu wengi hawajui kuwa wanaweza kuingia kwenye dunia ya digital marketing bila kuwa na followers wengi au kuwa maarufu. Kama wewe ni mtu mwenye akili ya biashara na upo tayari kujifunza, basi huu...
1 Reactions
4 Replies
555 Views
POSITION ACQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs
1 Reactions
1 Replies
377 Views
AJIRA AJIRA AJIRA Aslaam Aleyku 🙏 Anahitajika Secretary (karani) Mwenye Sifa zifuatazo. Umri: Usizidi miaka 35 Ujuzi:Awe amesomea u secretary(u karani)Mwenye ujuzi wa computer vizuri...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
📢 TANGAZO MAALUM KWA VIJANA WALIO CHUO, WALIOHITIMU CHUO AU FORM SIX! Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo, umehitimu chuo, au umemaliza kidato cha sita, basi usikose kutembelea kurasa hizi muhimu...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…