Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous (29d6)
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi...
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Anonymous
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona. Mwaka...
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Anonymous
Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia...
0 Reactions
2 Replies
64 Views
Anonymous
Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na...
3 Reactions
8 Replies
160 Views
Anonymous
Kwa ambao tunafanya intership wenye mikataba na TAESA fedha ya kujikimu haiendani na uhalisia wa maisha ya sasa ambayo ni 150,000. Tunaomba mamlaka zinazohusika ziingilie kati swala hili maana...
1 Reactions
2 Replies
91 Views
Anonymous
Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara. Malipo yetu yanategemea mpaka...
3 Reactions
18 Replies
254 Views
Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited. Nilikuwa...
1 Reactions
6 Replies
123 Views
πŸ”₯πŸ”₯ OFA YA DATA NAFUU πŸ”₯πŸ”₯ BEI YA WAKALA βœ… GB 5 = TSh 6,000 βœ… GB 6 = TSh 7,000 βœ… GB 7 = TSh 8,000 βœ… GB 8 = TSh 9,000 βœ… GB 10 = TSh 11,000 βœ… GB 15 = TSh 16,000 βœ… GB 20 = TSh 21,000 βœ… GB 25 = TSh...
1 Reactions
2 Replies
57 Views
Habari, Tafadhali Soma Tangazo la Nafasi za Kazi kama lilivyoambatishwa. Karibuni sana.
1 Reactions
5 Replies
146 Views
Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi. Hata hivyo, nimegundua kuwa...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Arusha hapa Ungalimited, nilikuwa mwajiriwa halali wa Hospital ya Tanga Central Hospital iliyopo Tanga nilifanya kazi pale kwa muda wa miezi 7 na kumaliza mkataba wangu ila mpaka...
1 Reactions
3 Replies
120 Views
The Judiciary Service Commission is a body established under Article 112(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977. Furthermore, Article 113 of the Constitution and the...
1 Reactions
2 Replies
719 Views
Mimi ni Mwanasheria (Wakili), wa Mahakama Kuu na Mahakama zote za chini. Uzoefu miaka 5+ Jinsia - Mwanaume Maeneo ya ubobevu ni: - Masuala yote ya Ardhi, Mirathi na Ndoa, Kazi na Ajira...
3 Reactions
10 Replies
596 Views
Anonymous
Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Anonymous
Mimi ni mwalimu mpya wa Somo la Biashara ngazi ya Shule ya Sekondari, Arusha DC. Tulipata ajira mwezi Mei 2025, lakini hadi sasa hatujathibitishwa kazini, licha ya kuambiwa wakati wa mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Anonymous
Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu NΓ omba Kazi ya Udereva, Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language Driving Licence βœ… Cheti (VETA) βœ… National...
2 Reactions
5 Replies
183 Views
Anonymous
Ni Mwaka sasa tangu tumewasilisha kero yetu ya kutolipwa Fedha za Kujikimu kwa sisi watumishi wa VETA Intake ya September 2025. Hatujalipwa na kuna mmoja ya mtumishi mwenzenu yeye yupo Makao...
0 Reactions
3 Replies
102 Views
Habari ndugu zangu.? Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Anonymous
Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru (Meru DC), hatujalipwa fedha za increment tangu mwezi Julai 2026. Kila tunapofuatilia kuhusu malipo hayo, tunaelezwa kuwa tatizo linasababishwa na mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…