Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,885
Wadogo zangu wakike na wakiume. Naomba niwashauri kitu kimoja tu siku ya leo. Kama ukipata kazi nchi za uarabuni basi ni nchi mbili tu ndio bora, salama na mishahara mizuri.

DUBAI na QATAR hizi nazipa 100% kwa usalama, ustaarabu na kila sifa za watu wa mataifa mengine kuishi.

Nakuomba usiende nchi zifuatazo:

Saudi Arabia
Oman
Iran
Iraq
Yemen
Leabanon.

Kama utaenda nenda at your own risk, usije ukasema kaka yako sikukuambia.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
1) Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates).

a) Kifupi cha nchi hiyo ni UAE

b)mji mkuu ni Abu Dhabi.

c)Mji maarufu wa kibiashara ni Dubai.

d)Makao makuu ya Shirika la Emirates Airways yako Dubai,

e) Emirates ni wadhamini wa Arsenal.

f) Makao makuu ya Etihad Airways yapo Abu Dhabi,

g) Etihad Airways ni wadhamini wa Man City.

2) Nchi ya Qatar

a) mji mkuu ni Doha

b)Qatar Airways, makao makuu Doha, Qatar.

c) Qatar airways Wanaidhamini Barcelona.

c)Aljazeera like shirika la habari liko Doha

Hizo nchi kuna wataalamu kibao kutoka nje ya nchi hizo hivyo ina mchanganyiko mkubwa wa watu wasomi wenye kuheshimu wasomi. Kwa vile wanalipwa vizuri na wao wanalipa vizuri. Ni salama kuishi.

Xavi Hernandez ,mchezaji wa zamani wa Barcelona yupo Qatar. Ni kocha. Papatu papatu umekuwa beki tatu/house girl wa Xavi. Ukirudi bongo moja kwa moja unacheza namba sita Simba/Yanga. Kidding.
 
Gardener wa Qatar akifanya kazi miaka miwili kisha akarud bongo atakuwa amemuacha mwalimu mbali sana kwenye upande wa money saving.

Hiyo ni kwa sababu Dubai na Qatar mishahara haikatwi kodi. Sasa chukulia huyo gardener wa Qatar awe analipwa 1000000 Tsh. tu na awe amepewa sehem ya kulala bure kisha awe kila mwezi anasave laki 5 tu maana yake kwa miaka 2 atakuwa amesave 15000000 milioni.

Kwa upande wa mwalimu atakuwa anapiga mark time tu akilipia nauli,kodi ya nyumba,kula pesa yote inaisha na madeni juu yake. Labda huyo mwalimu awe na akili ya ziada ya ujasiriamali au mambo ya kilimo ndio watakuwa sawa.
Hivi kuwa gardener Qatar, kunaweza kufanana na mwalimu mwenye degree kwa hapa kwetu kimaisha kama wote wakikutana hapa nyumbani?
 
Kila anae hiji ana roho nzuri emu jiongeze kidogo kwani akuna mchaw asie enda kanisan au msikitini
Mimi nimetoa mfano wa kuhiji kwasababu ni nchi inayopokea na kuwakarimu wageni wa kwenda kuhiji kilamwaka.
kwenye list ya nchi bora,salama na mishahara mizuri za arabuni Saudi Arabia aipo.kwa mujibu wa mtoapost.
kuwa na fikra njeme na mimi bwashee.ninampango sikumoja na mimi niachekuwatafuna nikahiji Makkah Ishallah.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom