Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari wana JF Mimi ni msichana, umri miaka 22, elimu kidato cha nne pia nimepitia mafnzo ya customer care and service ngazi ya cheti. Ninaomba msaada wa kupata ajira kwa mujibu wa taaluma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau,Nina matumaini kuwa mko salama .Kwa ufupi ni kwamba naomba kusaidiwa kupata zile kazi za vibarua vya kufagia na usafi pale bandarini.Hvyo kwa yeyote ambae anafanya pale au...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
  • Redirect
Ndugu zangu natafuta kazi kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kupata au anaweza kuniajiri binafsi au kupitia kampuni, Nina degree ya awali inayohusiana na mambo ya tekinolojia lkn kwa wakati mwingi...
2 Reactions
Replies
Views
Salamu kwenu wanaJF, Kwa mtu mwenye mapenzi mema na ushauri namba yangu 0768538324. Binafsi nimemaliza chuo kikuu mwaka jana Bachelor of science in Mathematics. Nimejaribu kuaplay...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni mwaka sasa natafuta kazi, lakini sijafanikiwa, naombeni msaada hata kama ni kazi ya kujitolea
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu natafuta kazi kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kupata au anaweza kuniajiri binafsi au kupitia kampuni, Nina degree ya awali inayohusiana na mambo ya tekinolojia lkn kwa wakati mwingi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Elimu ni kidato cha 6,alikuwa akifanya bachelor nchi jiran ila kunamatatizo yamejitokeza akashindwa kuafford expences,ndo kwanza alikuwa anamalizia mwaka wa kwanza.Anatafuta kazi itayomuwezesha...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
wakuu habarini, nisaidien kaz jaman,Nina operate machine excavator pia Nina diploma ya engineering please nisaidien kaz yeyote ile pia Nina blasting certificate na driver licence, Nina mwaka mzima...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Jaman wana jf naomben mnisaidie kupata kazi yoyote ,Ni mvulana wa miaka 22 ,Elim yangu ni kidato cha sita tena PCM na nmepita JKT nipo Iringa. no 0768050597
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Zenu wanajf..poleni na kazi na mihangaiko tofautitofauti..Mimi ni msichana nmemaliza chuo kikuu kwa coarse ya bcom accounting.Nilikua naomba msaada wa kazi inayohusiana na hyo field au...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Nina Degree ya Procurement and Logistics Manangement ninaomba kwa yeyote anayeweza kuniunganisha nikapata kwenye Kampuni/shirika lolote nina uzoefu wa mwaka mmoja nipo Simiyu Msaada wenu Tafadhali
0 Reactions
10 Replies
807 Views
Habarini ndugu zangu katika Taifa lenye amani tele. Polen wale wote ambao wamefikwa na majanga ya tetemeko kule Bukoba Mungu azidi kuwafariji na kuwatia nguvu. Moja kwamoja niende kwenye kichwa...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Natanguliza salamu wana jf hali ya maisha imenifanya kuomb msaada hapa nina elimu ya wastani naomba kazi popote tanzania kaz yoyote dukani, ofisini jaman msaada stress zimeanza nimekaa nyumban...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Habari. najitokeza kwenu kijana wenu kuomba connection ya kazi. Mimi ni mkazi wa kibaha ni Muhitimu wa Bachelor degree of adult education and Community Development chuo kikuu dodoma. Nina uzoefu...
3 Reactions
7 Replies
744 Views
  • Redirect
Nipo Moshi natafuta kazi iwe dukani hotel au sokoni ata ya usambazaji nipo Sirius kwaatakae niitaji atume msg no 0718591933
0 Reactions
Replies
Views
Mimi Ni kijana wa miaka 22 Ni mwanafunzi wa chuo now nipo likizo ..so maisha kidogo kitaa yanakua magumu msaada wa part time job mahala popote au mwenye ushauri wa biashara au support yoyote...
1 Reactions
0 Replies
418 Views
Habari Ndugu wa Jf Mie ni kijana wa 27 natokea mwanza ombi langu humu leo ni nafasi ya ajira nina uzoefu wa udereva usio pungua miaka 9 pia nina uzoefu wa mashine za ujenz wa barabara (excavator)...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
naomba anae weza nisaidia mdg wang akaweza kupata kazi elimu ni degree ya uongoz katika biashara alie tayar kunisaidia ani PM tafadhal wakuu hela ya soda ipo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Wakubwa zangu habari za majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa miaka 24, Elimu yangu form 4, Jinsia ya kiume Mzaliwa wa Dar es salam. Naombeni kazi...
1 Reactions
1 Replies
725 Views
Habarini za kazi wakuu,ninaomba msaada wa kazi ,Nina wadogo zangu wamemaliza Udsm tangu 2014,coz ya mazingira na Education ,please hata kazi zozote za vibarua anawezafanya ,lengo atafute mtaji wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom