Msaada wa kazi

Misojji

Member
Sep 11, 2021
6
4
Habari. najitokeza kwenu kijana wenu kuomba connection ya kazi. Mimi ni mkazi wa kibaha ni Muhitimu wa Bachelor degree of adult education and Community Development chuo kikuu dodoma. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Data entry na office assistant. Naomba msaada wenu wana jamii Forum kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi kwenye taasisi au shirika lolote mana maisha ya mtaani ni magumu mno na nakalibia ku give up.
0672068556
 
Tujipe pole muhanga mwenzangu,mm mwaka wa pili na nusu sasa nahangaika bila mafanikio aisee Nina bachelor degree of education yaan cjui Lin serikal itatukumbuka jamn
 
Masomo gani?
Jinsia?
Upo wapi
jinsia ya kiume. napatikana kibaha-Pwani
masomo ya kufundisha n Kiswahil japo uko sina uzoefu nako nina uzoefu wa mambo ya kuingiza data na ishu za social and community works mana nilifanyaga internship IMA WORLD HEALTH-KAGERA kama DATA ENTRY.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom