Msaada wa kazi

miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,020
2,000
Habarini za kazi wakuu,ninaomba msaada wa kazi ,Nina wadogo zangu wamemaliza Udsm tangu 2014,coz ya mazingira na Education ,please hata kazi zozote za vibarua anawezafanya ,lengo atafute mtaji wa biashara ,Ahsanteni kwa niaba ,Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,836
2,000
Duu tangu 2014, Pole kwao kwa kweli, aliesoma eductn kasoma masomo gani? Natafta mtu wa kiswahili na history, halaf kwenye mazingira kuna mshkaji juz kapata dili baada ya kukosa profesional
 
farazuu

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
350
500
Mpe pole kiukweli kazi zimekuwa ngumu.Serikali haitoi ajira na sekta binafsi imebana.Aombe Mungu sababu anajua mipango yote
 
miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,020
2,000
Duu tangu 2014, Pole kwao kwa kweli, aliesoma eductn kasoma masomo gani? Natafta mtu wa kiswahili na history, halaf kwenye mazingira kuna mshkaji juz kapata dili baada ya kukosa profesional
Kasoma geography na kiswahili Mkuu ahsante sana ,waweza nisaidia ndugu yang
 
miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,020
2,000
Duu tangu 2014, Pole kwao kwa kweli, aliesoma eductn kasoma masomo gani? Natafta mtu wa kiswahili na history, halaf kwenye mazingira kuna mshkaji juz kapata dili baada ya kukosa profesional
Nisaidie km unaconnection ya mazingira huko
 
miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,020
2,000
wako mkoa gani
Wa mazingira yupo Dar na wa Education yupo Mbeya,walifiwa na wazazi wao ,so nilichukua jukumu LA kuwasaidia ,has a kutokana na mazingira waliokuwa wanaishi ,ni watoto wa baba Mdogo ila wazazi ni marehemu ,baba yao alifariki 1999 na mama 2003
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,473
2,000
Habarini za kazi wakuu,ninaomba msaada wa kazi ,Nina wadogo zangu wamemaliza Udsm tangu 2014,coz ya mazingira na Education ,please hata kazi zozote za vibarua anawezafanya ,lengo atafute mtaji wa biashara ,Ahsanteni kwa niaba ,Natanguliza shukrani zangu za dhati
Ni vizuri mnaotafuta kazi au jambo linaliofanana na hili muwe mnaweka nyama kidogo maana inakuwa kazi ya anayehitaji kutoa msaada au nae ana shida na mtu wa kazi kuanza kuuliza umesomea nini, masomo gani, umri,nk. Maana kuna watu wanahitaji mtu wa aina Fulani.
 
miss_mbeya

JF-Expert Member
Mar 24, 2015
1,020
2,000
Ni vizuri mnaotafuta kazi au jambo linaliofanana na hili muwe mnaweka nyama kidogo maana inakuwa kazi ya anayehitaji kutoa msaada au nae ana shida na mtu wa kazi kuanza kuuliza umesomea nini, masomo gani, umri,nk. Maana kuna watu wanahitaji mtu wa aina Fulani.
OK Nashukuru Mkuu, nitarekebisha
 
mrsmau

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
406
500
Huyo wa mazingira aombe kazi janegudour institute sijui kama nimeiandika vizuri ni mradi wa mazingira wametangaza kazi ya root and shoot coordinator ajaribu bahati yake nafasi imetangazwa ajira forum
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom