Msaada wa kazi

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
3,797
4,163
Habari zenu wadau,Nina matumaini kuwa mko salama .Kwa ufupi ni kwamba naomba kusaidiwa kupata zile kazi za vibarua vya kufagia na usafi pale bandarini.Hvyo kwa yeyote ambae anafanya pale au anajua jinsi kupata hzo kazi basi anisaidie.Elimu yangu ni F6 mawasiliano 0783535854.
 
Unatokea Mkoa Gani? Je huko kwenu hakuna Ardhi maana Kuna shairi la ""Mkitaka Mali mtaiapata Shambani""
 
Mwoga wa maisha atakuwa kaogopa uzito wa jembe,anakimbilia wepesi wa mfagio.mvivu utamjua maana kazi yake ni kutafuta wepesi bila jasho jingi.pia namba yako nikiiangalia kwa haraka haraka inamaanisha wewe n mvivu wa kiasi cha lami ya kuchemsha na kuni.
 
asante kwa mchango wako ndugu.
 
Back
Top Bottom