Msaada wa kazi

Mar 25, 2017
70
44
Ndugu zangu natafuta kazi kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kupata au anaweza kuniajiri binafsi au kupitia kampuni, Nina degree ya awali inayohusiana na mambo ya tekinolojia lkn kwa wakati mwingi nimekuwa nikifanya kazi zisizohusiana na taaluma hiyo kulingana na hali halisi ilivyo mtaani.
Kwa sasa nafundisha sekondari masomo ya hesabu na fizikia lkn ningependa kupata changamoto mpya zaidi na kuangalia fursa zingine,napatikana maeneo ya mkoa wa mwanza kama kuna shirika,taasisi,kampuni nk nina uhakika ninao uwezo wa kufanya kazi.
Bila matusi na lugha za kejeli karibu kwa wanaoweza kunisaidia ama kunionyesha mahali na niko tayari kwa usahili wakati wowote kutegemeana na umbali wa eneo husika.
Kwa mawasilino zaidi tunaweza kuwasiliana na kupeana contact kupitia PM!!!
AHSANTE!!
 
Mimi nimefungua ofisi yangu inayo deal na Security systems ......

Ambapo Nina deal na CCTV security's, electrical fence, alarm systems kama upo vizuli karibu tufanye kazi as a team

Katika kutafuta tenda za kazi na kufanya kazi pamoja hivoo na kinachopatikana baada ya kazi basi tunagawanaa

Kama uko tayali tutafutane
 
unapatikana maeneo gani mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom