NGWANA ANGELINA
Member
- Mar 25, 2017
- 70
- 44
Ndugu zangu natafuta kazi kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kupata au anaweza kuniajiri binafsi au kupitia kampuni, Nina degree ya awali inayohusiana na mambo ya tekinolojia lkn kwa wakati mwingi nimekuwa nikifanya kazi zisizohusiana na taaluma hiyo kulingana na hali halisi ilivyo mtaani.
Kwa sasa nafundisha sekondari masomo ya hesabu na fizikia lkn ningependa kupata changamoto mpya zaidi na kuangalia fursa zingine,napatikana maeneo ya mkoa wa mwanza kama kuna shirika,taasisi,kampuni nk nina uhakika ninao uwezo wa kufanya kazi.
Bila matusi na lugha za kejeli karibu kwa wanaoweza kunisaidia ama kunionyesha mahali na niko tayari kwa usahili wakati wowote kutegemeana na umbali wa eneo husika.
Kwa mawasilino zaidi tunaweza kuwasiliana na kupeana contact kupitia PM!!!
AHSANTE!!