Toyota starlet iko kwenye hali nzuri sana na inaendeshwa na mdada
sababu ya kuuza:anatafuta kodi ameagiza gari ingine
BEI: ishauzwa 4m
Make: Toyota starlet
Model: EP91
Mileage: 132,000 km
Engine...
PROJECTOR zinapatikana Second Hand (Grade A&B) Kutoka UNITED KINGDOM.
Toshiba
Epson
Acer
Hp
Optoma
Bei (250,000 to 300,000) wasiliana nasi +255682133838 Kufahamu Mzigo uliopo Stock.
Sent...
HII LAPTOP IMERUDI SOKONI... (29-01-2019)
Nilipata kazi kidogo ikabiadi nisitishe kuiuza.
Ipo katika hali nzuri kabisa...
Betri inakaa masaa matano
Unahitaji Operating system mpya au activation...
Habari zenu wana jamvi kama kicha kinavyo jieleza nauza simu mpya haina hata miezi mi 3.
Hii ni kutokana na maamuz binafsi na mmiliki ni mimi mwenyewe sio ya mtu na nilinunua dukani.
kwenye...
Good day,
Contact me if you are in need of academic consultation services especially in the following areas:
[emoji438] Research proposal Writing,
[emoji438] Research assistance; including data...
Jamani habari zenu, nauza kiwanja changu mwenyewe kipo mbezi ya Makabe, Hakina Dalali, Kama Unahitaji tunaonana, Nairobi tunauziana kwa kuandikishana Serikali za mtaa kwa usalama Wako na wangu...
Gari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi imetembea Km 122625 cc 1990 za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo...
VIMEUZWA
Habari za jioni wakuu nauza vifaa vya saloon ya kike
1.draya moja
2.kioo kimoja kina frem ya alminium
3.troler yakuwekea rolers
4.kabati la alminium ukubwa ft 5
5.feni ya juu
6.viti...
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu.
Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili...
Habari zenu wakuu
Poleni na majukumu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, sisi ni kampni inayoitwa PRIDE ELECTRONICS , Tupo kariakoo Dar es salaam na mipango ya kuenea mikoani ipo.
Tunauza...
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 *25 sqm kinauzwa eneo la michese Iringa road jijini Dodoma.
bei ni 1.7 milioni na inaweza lipwa kwa awamu.
Eneo lipo km 8 toka city centre na lina huduma zote kama...
Subwoofer aina ya rising inauzwa ipo katika hali nzuri na bado mpya, imetumika miezi 2 tuu.
Specification zake;
bluetooth
Card reader
Usb port
Fm radio
Aux
Ina option mbali mbali za kuseti midundo...
Amani kwenu wadau,
Kuna subwoofer aina ya rising na king'amuzi cha star times zipo sokoni anayehitaji anichek pm au mawasiliano 0754669580.
Location: tabata dsm
Subwoofer ina blueooth, aux, fm...
Laptop aina ya HP inauzwa, ipo katika hali nzuri bado mpya.
Specifications;
Ram 4GB
HDD 500GB
processor i3
DVD RW
WEBCAM
WiFi
windows 7, 64 bit
Any serious buyer call/txt 07546*****
location...
Amani kwenu wadau,
Nauza tv flat aina ya star x '22, bado mpya na makaratasi yake. Imetumika miezi 2 tuu. Box, remote na cable zake zote vipo.
Any serious buyer call/text 0754669580
price...
Poleni kwa majukumu ndugu zangu, ninauza shamba langu ukubwa wa heka 1.5 kwa Tsh. 2,500,000/=
Shamba liko Bomang'ombe karibu na kituo cha Kwa kiliwe kama unaelekea Moshi, shamba ni langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.