Huwa ni mwanamke mbaye hawezi kumsikiliza mwanaume wake.
Neno lake huwa ni la mwisho kwa maana ya kwamba hakosolewi. Maamuzi yote ni juu yake. Hakuna mtu mwingine muhimu zaidi yake. Anataka...
Wasalaam JF,
Yote kwa yote mimi nadatishwa na chuchu mchomozo ndio kitu chenye thamani kwangu na chenye mvuto na ni kitu unique chenye maana kwa mwanamke, nikiwa na pisi ya chuchu nzuri ziwa...
Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta...
Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao...
Kinachowapelekea watu kujireko video za utupu wawapo faragha ni kitu gan? Tena ikitokea mmeachana mmoja taamua kuachilia picha hizo kwanini tusitiriane?
Kwanza najiuliza unapokuwa na UPWIRU wako...
Nimeshuhudia familia nyingi mwanaume akisha staafu kazini mke /mwanamke wake anamchukulia kama takataka flani au mtu aliye kufa ilihali anatembea.
Dharau, ubabe, masengenyo, kuombewa ufe au...
Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano.
wala sina tatizo hata ikitokea rafiki...
Wanawake wenzangu,
Ni red flags gani ukiziona kwa mwanaume unaona kabisa huyu hafai kuwa nae kwenye relationship or hafai kuwa mume. Za kwangu ni:
1. Akiwa hana busara
2. Hana tone ya nzuri...
Msichana mdogo wa miaka 18 aliwahi kuja kwangu na kuniomba msaada. Hakuhitaji msaada mkubwa sana kama mwenyewe alivyosema, kwani alitaka kusaidiwa kupata jibu la swali ambalo lilikuwa likimtatiza...
Kwa aliyetayari kwenda kwenye hatua hii.
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume, kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni...
Kuna vijitabia huwa tunaviita red flags yani mtu akiwa navyo basi hamuwezi kudumu unaanza kutafuta exit strategy.
Kwangu mimi:
1. Nikimkuta binti ana chats nyingi na wanaume whatsapp huwa ni...
- Ninanyimwa tendo, wanaopewa ni watu wa huko nje. Hii kweli ni haki?
"Najihisi mjamzito Melki! Kama utapata muda kesho, naomba unisindikize tukapime ili niwe na uhakika", yalimbwatuka akiwa...
Hellow
Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili
Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni...
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa...
Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi.
Hata hivyo siku hizi, ndoa...
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.
Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1-...
Habar wana jf,
Kiukweli nachukia sana mtu kukuona mjinga alafu likimkuta lakumkuta anarudtena kukuomba ushauri iliiweje sasa wakati mwanzo alikudharau kwa ushauri uliompa.
Iko hivi kuna jamaa...
Am a Single mom with a 6 years old daughter, a proudly mom, Na miaka 30 naishi dar, business woman.
Ni mnene kweli bonge la mama, mweusi na sio mfupi sio mrefu, mchapa kazi, nimesoma sio haba...