knows
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,453
- 2,239
Habar wana jf,
Kiukweli nachukia sana mtu kukuona mjinga alafu likimkuta lakumkuta anarudtena kukuomba ushauri iliiweje sasa wakati mwanzo alikudharau kwa ushauri uliompa.
Iko hivi kuna jamaa yangu anamwanamke wapo kwa mahusiano mwanamke kiukweli alianza kumpiga jamaa matukio muda jamaa aishikulalamika akija kwangu akitaka nimshauri most of the time nilikuwa nikimshauri aachane na huyo mwanamke huyo sio mwanamke wakuishinae lakin jamaa akishatoka unakuwa umempigia mbuzi guitar baada ya siku 2 unamkuta yuponae unabaki unamuangalia tu akipigwa tena tukio anakuja akilalamika anaomba ushauri unamwambia yaleyale achana nahuyo mwanamke akiondoka baada ya siku 2 anarudi tena kwa mwanamke.
Kiukweli nikona huu ujinga nikaamua kunyamza kimya nikimuangalia kwasababu huu niupuuzi juzi alisafiri kwenda mkoani alikaa kama siku 2 karudi leo mapema lakin hakutoa taarifa kwa mwanamke kuwa yupo njiani anarudi alitaka amshtukize mwamba kufika home kimeumana kakuta kidume ndani mwanamke anatoka na kanga kufungua mlango balaa lilikuwa zito nipo kazini ananipigia simu kuwa kunatatizo akaniambia anahtaji tuongee nikamwambia baadae nikitoka kazini .
Nimerud home nikamshtua kaja ndo ananielezea yaliomkuta leo kiukweli leo nimeshindwa kumshauri chochote zaidi ya kumwambia pole mzee ndo maisha akaniuliza nimshauri afanyenini nikamjibu msamehe mwanamke muendelee na maisha bas zaidi ya hapo sina chakukushauri basi iko hivyo kapigiwa simu na mamamkwe wake aende usiku huu nikamwambia nenda mkaongee kaniomba niende nae nimemgomea katu hajaamini nikamwambia siwez mzee kwenda we kama unenda nenda tu.
Kiukweli mimi ukijakwangu kuhtaji ushauri nitakushauri kwasababu mbaka unakuja kwangu inamaana umeniona mimi ndio wamuhimu sasa kesho ninapokukuta umerudi kulekule inamaana umeniona mimi fala ila hakikisha yakikukuta tena usije kunieleza tena labda uje na tatizo tofauti na lamwanzo nitakuskiliza idiot.