Ni "red flags" gani ukiziona kwa mwanaume unaona hafai kuwa naye?

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
693
1,583
Wanawake wenzangu,

Ni red flags gani ukiziona kwa mwanaume unaona kabisa huyu hafai kuwa nae kwenye relationship or hafai kuwa mume. Za kwangu ni:

1. Akiwa hana busara
2. Hana tone ya nzuri kwenye mazungumzo
3. Hana huruma
4. Sio mnyenyekevu
5. Ana apps kama Snapchat, TikTok LOL.
6. Ana post na kujipost kila mara

Hizo ni chache. Naombeni mshare na zenu jamani
 
Naombeni mshare na zenu jamani ...
Akivaa hivi najua tu huyu Tigo cha Wote ni Red Flag sirudi tena
Screenshot_20230815-120518.png
 
Back
Top Bottom