wakuu Salam✋
nimetokea sana kumpenda money penny.nimekuwa nikifatilia nyuzi zake sana
nimemjengea picha kichwani nimdada mmoja wamoto sana na mremboo hasa kuliko mwanamke yeyote duniani...
Yaani hatari juu ya hatari familia sijui imenionanaje ambayo kuna binti nimemposa nimeletewa mkeka wa mahali milioni saba ikiwemo na vikorokoro vidogo vidogo katika hesabu iliyopigwa imegonga m7...
Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye...
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo.
Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo...
Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU...
Juzi kariakoo kuna mambo nilifuata. Nikiwa huko i saw this fine looking lady. Damn she is gorgeous! She's a mixed race btn asian and black i think! Aaah sijui kwa nini nimemkumbuka aisee na hata...
Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa...
Jamani, nawapenda wote humu ndani kwa maoni, ushauri, kuelimisha, kufahamisha n.k Ukweli Tangu niingie JF sijawahi juta.
Ni hivi Wananzengo,Kama UNAJIONA na kujikuta wewe huna mapungufu, wewe...
Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa)
Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima.
Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi...
Kama ilivyo kawaida kwenye moja na mbili nikiwa nimetulia sina hili wala lile.
Nika mcheki best yangu hadija. Huyu hadija ni mwanamke ambaye tuna fahamiana tu na hatuna chambe chembe za mapenzi...
Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka.
Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na...
Habari zenu wakuu,
Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo.
Je, nikweli au niuzushi tu...
Habari wakuu,,
Tuna kijana mwezetu hapa Muislam, mashaallah kapata Binti RC na bahatinzuri Binti amekubali kubadili dini(Imani) yake ili shughuli yenye barakah(Ndoa) iweze kupitia/kufanyika...
Salaam jukwaa la MMU
Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi.
1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima...
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?
Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani).
Ninavyofahamu...
Hivi kuna haja ya kulipatia heshima tendo la ndoa baada ya kuoana? Mlio tayari kwenye ndoa tujuzeni japo kwa ufupi kuhusiana na uhai wa tendo kabla na baada ya ndoa. Ile mikunjano, mibebano na...