Jamaa alkua na ex wake wa enzi izo za sekondari anasoma, baada ya kupotezana miaka mingi, binti kamtafuta jamaa na wakaanza upya mawasiliano, mahusiano kwny simu, Kisha kupanga kukutana waonane...
Inauma saaana ndugu zangu. Licha ya kuwa pamoja naye katika masuala tofauti ya hapa na pale, nikimsapoti pale ninapoweza, akinisaidia kimawazo n.k Jana ndipo nilipatwa na ganzi ya mdomo baada ya...
Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili.
1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi.....
2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote......
3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za...
Ni muda mwingine tena.
Anaomba ushauri huyu rafiki yangu mwanzoni alinishauri sana nioe tufanane ila nikamwambia mimi sina kazi na siwezi mtunza mke, leo yamemkuta.
"Ni miaka minne sasa tangu...
Ex wangu aliniacha mimi na kukimbilia kwa jamaa fulani kisa jamaa ni mtu mwenye pesa nyingi.
Wakati mimi ndo nilimtowa kijijini na kumleta mjini ila cha ajabu mazuri yote haya walisau yeye na...
Naamua kuwafumbua macho watu wengi maana hamjui chochote, mkipata vibinti huko vijijini mnakuja kuviweka mjini viwe vifanya kazi vya ndani kumbe vimeathirika ukimwi,
Ukiwa unampelekesha kwa kazi...
Habari kwenu, nyote
Nilikuwa najiuliza kwa mfano ww ni mwanaume tajiri au una hela za kutosha,, na umri wako ni 35+ huko
Lets say kwa mwezi unaingiza 87M, ila hujaoa lakini wazazi wako, na ndugu...
Habari za muda huu wanajumuiya ya MMU wenzangu, ni matumaini yangu kila mmoja anaendelea vyema.
Katika tafakuri ya weekend leo nimewaza jinsi ambavyo ndoa zinawasumbua vijana wengi kila mmoja na...
Binafsi tokea nianze mahusiano na mabinti wa aina Nyingi nime experience mambo mengi sana Kuna Hawa wanawake wao wanataka antention Yako hawataki Pesa Wala nini yaani inshort hawana tamaa ya Pesa...
Habari,
Mimi kidogo ni mfuatiliaji wa Facebook. Kuna kinachoendelea kwenye page ya jamaa mmoja anayejiita Dr. Harris Kapiga akitoa yake ya moyoni.
Ameweka namba na wanawake waeleze yaliyo moyoni...
Nimeishiwa nguvu, Ni mambo yanayotia stress sana.
Kinachoaminika kwa tamaduni zetu ni kwamba mtoto wa kike mchanga, kitovu chake kikidondokea kwenye uke wake basi ni kifungo cha uzazi, Yani...
Wakuu kwema?
Kuna mtoto mmoja hivi wa kishua kweli kweli alinipaga namba mwenyewe sasa baada ya ziku 3 nikaji race nikaanza kumwambia nakupenda nataka nikuoe akanitolea nje nikavunga niakendelea...
Wapendwa, nauliza tu sio kwa ubaya kwani siku hizi wanaume wote mna watoto
Yaani tangu nianze mahusiano seriously namaanisha ya Kiutu uzima natongozwa na wanaume wenye watoto
Nina ex wawili...
Habari wana JF.
Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15.
Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto,
Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake.
Mume alijua kwa mawasiliano ya...
Wanaume hawajui kutofautisha jamboo.
Leo nawaelewesha jambo hili na nikuhusu SINGLE MOTHERS.
kuna muda na pitia post nyingi na niza single mothers.
Hawa single mothers ni wakina nani??
Single...
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/47761647
Mrejesho wa Thread hapo juu
Baada ya vuta ni kuvute kati ya familia ya kijana na binti kuhusu mahari.
Wanafamilia wa kijana wengi...
Habari mdau wangu,
Pole na hekaheka. Leo Sina mengi zaidi tu ya kukukumbusha kwamba unachokifata kwa mchepuko wajuba wanakipata kwa mkeo.
Tena kiukaini kabisa usijesema sjakusanua.
Baada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!. Kila nikifungua hili jukwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.