Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Utakuwa unapoteza pesa nyingi badala ya kujiekeza kwa mambo muhumi. Unawaza kitu ambayo utail na kesho uisahau. Bibilia imesema...
2 Reactions
8 Replies
168 Views
Yan n avatar tu unaona demu hujawai kumuona.Ni sawa na kipofu akitongoza kupitia hisia. maana hum kuna watu wanachumbian laiv.Ila...
8 Reactions
106 Replies
1K Views
Huko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz” Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe. Hali inazidi kuwa...
18 Reactions
135 Replies
2K Views
Salaam JamiiForums. Hope mko poa. Mimi Daniel au Myahudi (Jewish)kama wengi wanavyoniita mtaani ,Niko fresh,Niko poa bado na survive naendelea kusifu ukuu wa MUNGU kuna vitu sitaweza vimaliza...
28 Reactions
255 Replies
3K Views
Habari ni gani wakuu zangu? mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea...
7 Reactions
19 Replies
377 Views
Sina maneno mengi zaidi ya kutaka ushauri wenu juu ya rafiki yangu huyu anaetarajia kufunga ndoa na single mother, yeye ndo ana oa kwa mara ya kwanza. Ushauri wenu tafadhari.
6 Reactions
21 Replies
338 Views
Aisee wanawake watu wa ajabu sana yani hapa ninavyosema nipo mtu alevishwa pete juzi na mshkaji na kupostiana juu oya wanawake kweli hawafai aisee Hebu fikiria ndo wewe unataka kuoa alafu...
11 Reactions
38 Replies
792 Views
Sio mgeni wa jiji nipo hapa 10+ years shoot in and out . Kuanzia masomo mpaka kazi mpaka unemployed. I declare my interest Kama kuna mtu ana kibarua naomba. Turudi kwenye mada baada ya miaka kama...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke...
20 Reactions
28 Replies
1K Views
NAwasalimia kwani nawajua. Sasa leo mchungaji mmoja katika kipindi cha Edeni cha Upendo Tv alisema ni raisi kupata mume ila ningumu kupata mke. Je kwa hili suala ukweli ni upi??
8 Reactions
46 Replies
788 Views
Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa.. Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia...
24 Reactions
187 Replies
4K Views
ugonile, huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria...
11 Reactions
83 Replies
3K Views
Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo...
6 Reactions
12 Replies
245 Views
Hivi vitoto sijui vililishwa nini maana ni vina stamina sio ya kitoto, unaweza kukipelekea moto kwa speed ya 5g ila ndo kwanza kinasema uongeze speed. Unachapa hadi bao 5 ila kinataka kuendelea...
22 Reactions
87 Replies
3K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Ndio anajifunza kuongea ila nadhani kampani ya watoto wenzake anaocheza nao ndo walimuambukiza mnajua tena maisha ya uswahilini. Tunajitahidi...
4 Reactions
176 Replies
17K Views
Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake...
27 Reactions
253 Replies
4K Views
Ukimzalisha kabla ya ndoa kuna uwezekano wa kuongeza tatizo la single mothers Ukimuoa kama ana matatizo ya uzazi kuna uwezekano ukazeeka bila watoto
1 Reactions
1 Replies
100 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…