Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Video ya muhenga akitoa ushauri kwa vijana kuhusu Mke wa kuoa. Muhenga huyu moja ya sharti alilotupa vijana ni kutooa Mwanamke mwenye Vidole...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Sifa Zangu Mm n wakiume [emoji1] Mkristo Nimejiajiri- (IT) Sifa za Mchumba ×2 Awe wa Kike Umri From 19-25 Dini Yeyote Aishi Dar es Salaam Vingine Tutaviongea [emoji120] Njoo inbox Tuyajenge...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Ni wepesi kukupa picha ila ni wazito kukupa hela hatakama umeishiwa mafuta ya gari porini watakuacha uliwe na wanyama wakali. Wahenga walienda mbali sana wakasema wanawake...
17 Reactions
92 Replies
3K Views
Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu wa leo ni mdada wa tano ndani ya week kama tatu hivi. Amekataa katakata kutumia ndom tukiwa naye faragha! Hivi hili wimbi la ongezeko la kinadada au Wanawake kutopenda kutumia kondom wakati...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Huo ndo ukweli mchungu. Kama huna pesa lazima mke wako agongwe nje.
8 Reactions
77 Replies
5K Views
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima . Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Unaambiwa "Kua Uyaone". Siku hizi replies zimeanza kuwa Smart sana. Baada ya kufuatilia kwa kina ndipo nikagundua kuwa kuna watu wanalinda mapenzi, mahusiano ama ndoa zao, unaambiwa nowdays si...
4 Reactions
5 Replies
385 Views
Leo nataka niwape faida ya karafuu katika kuchelewa kufika kilele kwa lisaa1hadi lisaa 1:30 mpaka massa 2:00 kama unapumzi ya kutosha. Chukua karafuu kijiko kidogo cha chai ponda upate unga wake...
2 Reactions
51 Replies
96K Views
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye daladala za makumbusho nawasiliano tukawa tumekaa na dada mmoja hivi jina aliniambia anaitwa Cathy Huyu dada cathy sio siri alikuwa mzuri sana na nilijiapiza japo...
25 Reactions
152 Replies
14K Views
Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
6 Reactions
147 Replies
6K Views
Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Manipulation is to control or play upon by hurtful, unfair, or insidious means especially to one's own advantage. Sikatai hii ni sehemu ya driving force ya ulimwengu huu ili mambo yaende. Ila...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi! Wakuu sio mtego huu?
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Bila kuchoshana kama tangazo linavosema hapo juu Natafuta mpenzi wa kuchat nae na kujuliana hali hivo vingine tutapanga baadae kama penzi likinoga Masharti:awe mwanamke basi inatosha
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Nina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Tangu xmass sijafungua kabisa Duka langu, niliamua kujipa mapumziko ya hiari mpaka sikukuu zote za xmass na mwaka mpya zipite ndo ntaendelea na biashara. Siku ya Jana tulikua na miadi ya...
11 Reactions
113 Replies
5K Views
Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
1 Reactions
5 Replies
580 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…