Kutaradadi kwa mahusiano ya kimapenzi baina ya wana JF

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Unaambiwa "Kua Uyaone". Siku hizi replies zimeanza kuwa Smart sana. Baada ya kufuatilia kwa kina ndipo nikagundua kuwa kuna watu wanalinda mapenzi, mahusiano ama ndoa zao, unaambiwa nowdays si kama zamani

Unaambiwa PM zimechafukwa hatari kuliko hata Threads. Mimi tu ndo nimebaki single. Hivi hakuna mwanamama mmoja wa kujitolea tuwe kwenye mahusiano ya kiJF? Itapendeza sana kama atakuwa jimama ili mwaka huu nitoboe

Wacha tu nimtumie jumbe za salamu Shemeji yangu Maua a.k.a katoto kazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom