Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijui kama wanasaikolojia wana neno la kitaalamu kwa hii hali, ila katika uzoefu wangu wa mahusiano mwanamke ukimpa sana attention atakusumbua na kama hamjaanza mahusiano basi hata tunda hupati...
16 Reactions
63 Replies
7K Views
Huu ni ujumbe wangu kwenu wana-MMU wenzangu. Kuna baadhi ya level huwezi kufika kuna mafanikio huwezi kuyafikia,kuna hela huwezi kuzipata kama umezungukwa na watu basic. Kuanzia asubuhi mpaka...
15 Reactions
33 Replies
4K Views
Habarini za leo, poleni na majukumu. Kuna post nilishaweka hapa inasema "mpenzi wangu hataki nimfuatilie mambo yake", juzi kanitamkia wazi wazi kua hanitaki tena. Kinachoniuma ni kwamba, pesa...
0 Reactions
90 Replies
11K Views
MWANAMKE ZAKE SIFA. Kipindi wamtokea, ulimsifia kwanza. Ndipo kakukubalia, leo ndio wake mwenza. Upendo unafifia, kusifu ukipunguza. Mwanamke yake sifa, usiache kusifia. Sio mali kutumia, eti...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu nilienda kuchumbia kwa binti mmoja wa kisukuma/ mnyantuzu huku maeneo ya bariadi na wakaniambia nitoe 4.5milioni nimejikakamua nimetoa 1milioni na binti ni msukuma/ mnyantuzu na ni msabato...
3 Reactions
64 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Niko mwaka wa pili chuo "X", huyu Lecturer ni mwanamke na pia ni Profesa. Amekuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka moja sasa, huwa nachat nae sana hadi zile sms za kimapenzi lakini...
24 Reactions
159 Replies
12K Views
Habarini za weekend Watanganyika, mwaka Jana nilikutana na dada mmoja mmoja Wilayani Bunda ambaye mmewe ni mmiliki wa hiace zinazoenda bunda-kibara-kisorya. Baada ya kupeana mawasiliano tukaanza...
9 Reactions
76 Replies
7K Views
Ndugu zangu nitawasalimia baadae kuna swali najiuliza, hivi inakuaje mwanamke yupo tayari kutembea na mume wa mtu ila siyo yule aliye single? Yaani unakuta anaongozwa na jamaa ana mke wake au...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanzo wa mahusiano mengi huwa ni bora na imara sana. Lakini kwa bahati mbaya si kila mahusiano yanaendelea na ubora huo. Mahusiano mengi huanza kwa mbwembwe nyingi sana lakini mwisho wake ni...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello . Kucheat kwa mwanaume ni kitu cha kawaida . Karibu Tupeane mbinu mpya za michepuko. 1..Kuna umuhimu wa kuwa na WhatsApp mbili. 2.Kuna App ya Calculator ya muhimu Sana kuwa nayo unaweza...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine. 2. Kuficha mapato na matumizi...
3 Reactions
7 Replies
751 Views
GHETTO LANGU LILINISALITI; MREMBO AKANIKIMBIA! Anaandika, Robert Heriel Vijana jijengeni! Wekeni mambo yenu Sawa kama mnataka hizi pisikali! Wanawake hawana Jema! Wengi ni materialists...
29 Reactions
82 Replies
8K Views
Jaman ndoa ndo zilivo. Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana Tabia anazoonesha 1. Kisiran 2. Kununa 3. Kuzalisha...
79 Reactions
386 Replies
19K Views
Salute wakuu Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani. Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka...
14 Reactions
117 Replies
6K Views
Hello MMU.The Love Connect ndo jukwaa kwa ajili ya kutafuta wapenzi/girlfriend Ila najaribu kujiuliza kama kweli kuna mtu alishawahi kubahatika kupata Girlfriend/Boyfriend hapa JF kupitia JF. Sio...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au...
17 Reactions
195 Replies
11K Views
Habari yenu wandugu. Hivi ni wangapi kati yenu baada ya muda kupita tangu kuanza mahusiano/kuingia kwenye ndoa zenu mmewahi kukaa chini ma wenzi wenu na kuwauliza mahusiano yenu yanaendelea...
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Wazazi timizeni wajibu wenu. Mzigo wa kuwatunza mabinti zenu wamebebeshwa vijana ambao bado wanajitafuta Mahusiano ya kimapenzi yamekua liability kwa kijana wa kiume. Vijana wa kiume wanashindwa...
6 Reactions
15 Replies
654 Views
Ndoa nyingi za siku hizi zinavunjika kwasababu zinaendeshwa kidini katika ulimwengu wa kisasa. Ndoa za kileo zinafaidisha wanawake zaidi kuliko wanaume, ukweli mchungu zaidi ni kwamba sheria...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Inakuwaje mtu ameoa, yupo na mkewe wanaishi nyumba moja na wanapeana tendo la ndoa kila siku, lakini huyu mwanamke kamkuta mume wake kalala uchi kapiga punyeto na aliweka na...
7 Reactions
137 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…