Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini. Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu...
13 Reactions
87 Replies
4K Views
Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanaume hutumia akili nyingi sana kucheat tofauti na mwanamke, mwanamke yeye akicheat tu dalili zinaanza kuonekana mapema. Sasa hizi ni mbinu chache kati ya mbinu 1000 ambazo wanaume tunatumia...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Inaonekana kwasasa jamii yetu na ya Dunia kwa ujumla ina struggle katika kujua sifa za asili za mwanamke kwa kuzingatia misingi ya mahitaji ya kijinsia. Tokea kuumbwa kwa ulimwengu viumbe...
9 Reactions
14 Replies
866 Views
Kwema, Kuna binti nimemuelewa hapa mtaani nikamwambia aje sehemu fulani Kuna mzigo nataka nimpe. Kweli akaja ila kwa kuwa huo mzigo sikuwa nao ikabidi nimdanganye mzigo haujafika ila naona akawa...
3 Reactions
8 Replies
735 Views
Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii ilishawahi kukutokea? Na ulichukua hatuna gani? Wadada Kwa wakaka itaneni hapa.. . Ulishawahi kuwa kwenye mapenzi yenye Mikasa ya ajabu mara fumanizi na vitimbili vya Kila namna? Hatari...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
32 Reactions
383 Replies
16K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa. Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si kukaa kama gogo kitandani. Kufanya tendo la ndoa walikuwa kwenye mahusiano lazima kila mtu afurahie utamu wa tendo la kufanya mapenzi sio kukaa kama gogo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe. Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk, Hapohapo kuna wale wa mitaani...
5 Reactions
8 Replies
675 Views
Huu ni ushauri kwa wanandoa wote.... Haupaswi kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya watoto wako au kwa sababu ya jamii inayokuzunguka. Unapaswa kukaa kwenye ndoa kwa sababu yako, hukuoa wala kuolewa...
25 Reactions
53 Replies
2K Views
Binamu yangu aliolewa mwezi Oktoba 2016. Aliolewa na kijana wa Bagamoyo huko mtoto wa Mganga. Baada ya ndoa wakaenda kuishi huko Bagamoyo nyumbani kwa wazazi wa mume wake. Maisha yameendelea tu...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi. Natumai mko pouwa kabisah. Kama heading inavyojieleza, hivi ni jambo gani ambalo mpenzi wake alilifanya siri ili wewe usilijue lakini kwa bahati mbaya ukalifahamu, kwa njia...
5 Reactions
89 Replies
15K Views
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona...
31 Reactions
285 Replies
15K Views
Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda. 2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA...
20 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…