Ni jambo gani lilifanywa siri na mpenzi wako na baada ya kulifahamu ulichukua uamuzi gani?

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana jamvi. Natumai mko pouwa kabisah.

Kama heading inavyojieleza, hivi ni jambo gani ambalo mpenzi wake alilifanya siri ili wewe usilijue lakini kwa bahati mbaya ukalifahamu, kwa njia nyngne tofauti na yeye kukwambia, na ulichukua uamuzi gani baada ya kulifahamu hilo?
 
Habarini wana jamvi .Natumai mko pouwa kabisah.

Kama heading inavyojieleza, hivi ni jambo gani ambalo mpenzi wake alilifanya siri ili wweee usilijue lakini kwa bahati mbaya ukalifahamu, kwa njia nyngne tofauti na yeye kukwambia , na ulichukua uamuzi gani baada ya kulifahamu hilo........?
Ungeanza kwa kutupa uzoefu wako ili nasi tuporomoshe visa na mikasa.
 
Niliwahi kuwa na binti ambaye nilikuwa na malengo nae mengi sana.... Basi kuna kipindi aliniambia anaenda kwa mama ake mdogo mwanza, ni mgonjwa sana nikampa vihela vya safari akaondoka.....

Baada ya siku 2 nilipata safari ya kwenda mtaa wa pili tu hapa kwangu hahahahaha nikamkuta yupo anafua nje ya nyumba nikamuita joanah akageuka, nikampungia mkono alafu nikaendelea na safari.....sikuile ile jioni anakuja na dada ake amuombee msamaha nikapiga chini maana nilikuwa nishafanya maamuzi.
 
Nilishawahi kuopoa binti mmoja humu, tukaishi naye kama mwaka na kitu kinyumba.

Bana bana banaaa! Kumbe ni mama wa watoto watatu.

Tulivyokuja kuachana naye alibadili wanaume 2 ndani ya miezi 6 na wote alikuwa na tabia ya kuwatambulisha nyumbani kwao(walitoa mahari).

Ila kwa sasa ni marehemu. RIP (.......).
 
niliwahi kuwa na binti ambaye nilikuwa na malengo nae mengi sana.... Basi kuna kipindi aliniambia anaenda kwa mama ake mdogo mwanza, ni mgonjwa sana nikampa vihela vya safari akaondoka.....

baada ya siku 2 nilipata safari ya kwenda mtaa wa pili tu hapa kwangu hahahahaha nikamkuta yupo anafua nje ya nyumba nikamuita joanah akageuka, nikampungia mkono alafu nikaendelea na safari.....sikuile ile jioni anakuja na dada ake amuombee msamaha nikapiga chini maana nilikuwa nishafanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom