Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Kisaikolojia, wanawake wengi huvutiwa zaidi na wanaume wakorofi (wababe) kwa sababu huamini wanaweza kuilinda familia pamoja na kumlinda yeye mwenyewe." 😂 Angalieni msije ponza miili yenu
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni long distance relationship Kwa Mara ya kwanza ananitumia meseji kuniuliza kwamba anipe umbea? Yaani eti baba ntu nikupe umbea? Duh kuijibu ikabidi niweke⏸ kwanza hii imekaaje ndo mahusiano...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe Najua nimewachanganya kidogo au sio Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu...
16 Reactions
63 Replies
3K Views
Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka...
3 Reactions
179 Replies
17K Views
Salama wakuu wa love connect. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya...
29 Reactions
400 Replies
42K Views
Katika kuelimishana, naomba kuuliza wadau hasa jinsi ya kike. Je, kuna ukweli katika kauli ambayo imekuwepo kwa miaka mingi katika jamii zetu kwamba wanawake huwa hawapendani wao kwa wao...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari zenu? Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Natafuta mwanamke anaeishi na VVU. Umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Aliye tayar anipm au kwa E-mail kareemibu9@gmail.com
2 Reactions
4 Replies
798 Views
Ndugu zangu na wasalimu sana. Ndoa nitaasisi kubwa takatifu inayojumuisha muunganiko wa mwanamke bikira (kama siyo bikira awe mjane, kafiwa na mumewe ndoa ikiwa bado hai) na mwanaume na...
17 Reactions
80 Replies
6K Views
Kuna binti nilimpenda mno wakati nipo shuleni. Mimi nikiwa form five yeye yupo form two. Kipindi hicho sikuwahi mwambia hisia zangu kwani nilimuona kama mtoto bado, nikahisi ningemvuruga kiakili...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Mwanzoni yalikuwa yakizungumziwa mambo machache tu hasa hili la kutosomesha mpenzi/mchumba. Kulikuwa hakuna post wala nyuzi nyingi za kuwaandama wanawake. Ila kwa kinachoendelea ni dhahiri nguvu...
3 Reactions
19 Replies
695 Views
Mjadala kuhusu iwapo mapenzi yanaweza kuishi bila mawasiliano ya kimwili ni jambo ambalo limegusa hisia za watu kwa muda mrefu. Wakati mwingine, watu hufikiria kwamba mawasiliano ya kimwili ni...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Wanawake huanguka kimapenzi kupitia maneno ya mwanaume, wanabaki katika upendo kwa sababu ya matendo yake. 2. Wanachukia wakati mwanaume asiyejulikana anatumia majina ya karibu kama "Mpenzi"...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike...
17 Reactions
48 Replies
2K Views
Natafuta Mchumba wa kike Mimi nina miaka 25 Sifa Umri 27-20 Elimu form 4-Degree Makazi-Dar es salaam(Wilaya ya ubungo) KAZI yeyote tu Anicheki kwenye email ebrahalwatan@gmail.com
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huo ndiyo ukweli! Wala usianze kumwagia sifa kwamba ana ujuzi alioupata unyagoni. Samaki akiwa mkubwa huwa anaenea vilivyo kwenye kikaangio kiasi kwamba hata kumgeuza inakuwa shida. Ni wenye...
19 Reactions
105 Replies
6K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Ni hivi ikitokea umegongewa demu ama kuchapiwa mke wala isikuume potezea tu na songa mbele. Faraja inakuja aliyekugongea naye anagongewa na anayemgongea naye vilevile...
11 Reactions
7 Replies
753 Views
Wasalaam wana jamvi Waswahili wanasema kua uyaone, Kwenye Maisha yetu ya mahisiano kila mmoja anapitia changamoto yake. Jana katika maongezi na shoga angu wangu wa dasilama au daslam kama...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Yule demu Jana nimemmind Sana na yeye anajua aisee! How come demu aingie ghetto halafu ukashindwa kumla? Au alikuwa ananiigizia kwamba nisimuone Malaya? Anyway na nimemblock sasa Kuna manzi Jana...
3 Reactions
15 Replies
983 Views
Wahenga wanasema ukitaka kupata urahisi wa kufanya jambo lako washirikishe wazee, ukubwa dawa. Wiki iliyopita nilikuwa na wazee wetu kijijini, tulikutakana kwenye ndoa ya kijana mwezetu kutoka...
35 Reactions
77 Replies
12K Views
Nahisi mu buheri wa afya wapendwa, Ni binti wa kazi wa ndani wa ma mdogo wa kufikia ambaye yeye na huyu mama wana historia ya kutoka kijiji kimoja tena majirani huko nyumbani kwao kijijini...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom