Natafuta mume tuoane

Englishlady

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
2,733
3,628
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters.

Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.

Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato.

Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
 
Salama wakuu wa love connect.

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters, umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar.Natafuta mume wa kufunga nae ndoa na kumaliza nae muda wa kuishi duaniani; awe mwenye umri kuanzia miaka 37, Mwenye elimu kuanzia chuo kikuu, asiwe mnene, rangi yoyote, mwajiriwa ama mtafutaji, anayejua umuhimu wa maisha na ndoa, mwenye kumpenda mke na atakayemkubali na kumpenda mwanangu, awe mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa msabato. Nitampenda kwa moyo wangu wote na kuwa mwaminifu kwake.

Kwa anayekubali vigezo anakaribishwa PM tafadhali.
Hapo kwenye kumaliza naye muda wa kuishi umenitisha sana mkuu


Umeathirika nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom