Kuna baadhi ya watu wameamua kutokuwa na watoto na wana sababu zao za msingi,
Sababu zao,
Hawataki kujipa kazi ya kulea kwasababu kulea ni kazi kama kazi nyengine uzijuazo.
Hawataki matatizo...
Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien...
Ningependa tushare experience hususani ya malezi ya mtoto chini ya miaka sita ukiwa kama baba yaani full responsibilities kuhakikisha mtoto anapata huduma zote za msingi.
Binafsi Nina mpango wa...
Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume..
Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA."...
Kwema,
Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi.
Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya.
MLIOAMUA KUOA...
Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu...
Unakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe...
Mimi ni kijana bado natafuta kwa ajili ya familia yangu hivi karibuni nilihamishwa kazi na kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu nyumbani akiwa mjamzito.
Kutokana na ukata wa maisha ili...
Wakuu habari za muda na wakati kama huu.
Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
Sehemu YA kwanza
*(Uandishi wangu si mzuri sana)
Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali...
Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hata sisemi. Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii
Kijana ana watoto wawili alizaa njee. Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje...
Waungwana habari za mihangaiko ya hapa na pale na harakati za kujikinga na ugonjwa wa nyumonia!
Mwaka 2000 nilianza kidato cha Kwanza shule moja ya Sekondari iliyo kuwa ina milikiwa na jumuiya ya...
Habari ndugu zangu,
Kama kuna mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa namkaribisha mimi ni kijana ambaye:
1. Nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa mjini
2. Umri wangu 34
3. Rangi ni mweusi
4. Muislamu...
Yaaan alieweka siku za Ijumaa na Alhamisi kazi wanayo kweli.
Mabinti wanateseka sanaaaaa na haya marejesho jamani.
Yaan hata imefika hizi siku wamamamna mabinti wanamka asbh wanakimbia tendo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.