Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu niliwaambia kuwa nasafiri lakini mpenzi wangu aligoma kuja nami na ukawa mwisho wa mapenzi yetu kwa kuwa mbali na kuwa alikuwa hataki kuja ughaibuni, pia alikuwa anaona nitatafuta mtu wa...
5 Reactions
16 Replies
776 Views
Nimekua na mahusiano miaka mitatu na nilie nae hajawai niomba hata mia na hataki lakini yeye za kwake anataka kuwa ananipa .eti wana jf hapo mnanambiaje
2 Reactions
7 Replies
619 Views
Ngoja niwasanue! Imekuwa kawaida kusikia wake zetu wakisifia chips za baa eti ni tamu kuliko wanazoweza kupika majumbani kwao. Basi sasa mjue sio chips tu, hata chakula cha hotelini huwa ni...
4 Reactions
12 Replies
643 Views
Salute Wakuu; Poleni na huyu mdudu #coronavirus.Hili nalo litapita tu.Let's be optimistic and hope for the best. Sisi wanaume wa huku bara bara sana huwa tunasikia sifa za hawa wanawake wa ukanda...
17 Reactions
81 Replies
14K Views
Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana...
5 Reactions
19 Replies
943 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada kengefu Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali, lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono...
21 Reactions
128 Replies
8K Views
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata? Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila...
1 Reactions
18 Replies
707 Views
Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani...
18 Reactions
160 Replies
9K Views
Sikuzote kumbuka Jipende wewe Watoto Mke It should always be in this order Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako...
9 Reactions
13 Replies
597 Views
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa...
32 Reactions
88 Replies
8K Views
I remember in 2010 I met English woman called Patricia. She came in my town as part of group of students came to volunteer in a certain organization which deals with children living in vulnerable...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao. Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu. Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi) Elimu: Si...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Kwanza Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kupata kazi. Pia ambayo bado hajapata usikate tamaa endelea kupambana sana na kumuomba Mungu. Ipo hivi hapa nina kama miezi mitatu tu...
1 Reactions
7 Replies
884 Views
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo...
48 Reactions
136 Replies
4K Views
Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu...
2 Reactions
7 Replies
655 Views
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno...
18 Reactions
208 Replies
8K Views
Back
Top Bottom