Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TANBIHI: Andiko hili ni kwa ajili ya watu wanaotaka wenzi kwa ajili ya kuishi hivyo kama lengo lako ni kula na kuacha huna uhusika wako hapa. Mvuto wa nje ni sehemu muhimu sana kwenye mahusiano...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily. Naomba munipe...
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
5 Reactions
5 Replies
479 Views
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa...
51 Reactions
235 Replies
10K Views
just curious, habari zenu wadau! nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane! imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra...
3 Reactions
112 Replies
15K Views
Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaume waliofanikiwa wanaoa la Saba B? Au kwa nini kinamama wengi wenye kazi zao na pesa nyingi hawajaolewa? Zama zimebadilika, zamani wanaume walifanya shughuli zote...
21 Reactions
67 Replies
3K Views
Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv: 1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa 2.Robot hana...
64 Reactions
659 Replies
30K Views
Au nasema uongo? Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda...
45 Reactions
235 Replies
7K Views
Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na...
40 Reactions
118 Replies
7K Views
Habarini za jioni jamani nimewakumbuka wanajukwaa!! kama kichwa kinavyojieleza ushauri uzingatiwe kwa maendeleo ya taifa NB; Nimeona nisipite bure kwani nimewakumbuka familia
4 Reactions
14 Replies
712 Views
I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha...
18 Reactions
43 Replies
3K Views
Simulizi hii inaletwa kwako kwa hisani ya binti wa kiroho wa pastor Anni Kaleb. Shuka nayo kama binti anavyomsimulia mamaye wa kiroho...... Pastor Anni acha Leo nikupe story ya Ndoa yangu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo Rukwa natafuta Ke aliyepo Rukwa specific Mjini kwa Mahusiano. Awe na age 20+.Karibu PM
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Aisee bora kufa kuliko kurudiana na muuaji.
2 Reactions
11 Replies
615 Views
Habari za wakati huu! Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya...
15 Reactions
136 Replies
4K Views
Back
Top Bottom