Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama...
5 Reactions
27 Replies
729 Views
Kuna siku nilienda alipopanga demu wangu.Kwa kifupi alinikaribisha vizuri sana hadi tukajikuta sote tukiwa katika nyakati za furaha sana utani mwingi,story Kwa sana na mipango mingi na tulikula...
4 Reactions
10 Replies
245 Views
Miaka 10 iliyopita nilikuwa na uwezo wa kubeba ndoo mbili kubwa za maji kama nimebeba kamzigo. Leo hii ukinipa ndoo moja hatua tano tu nasimama kupumzika kama mzee wa miaka 60.. nilikuwa nakimbia...
11 Reactions
30 Replies
720 Views
Wazee inakuejee mabibi inakueje, Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka...
19 Reactions
87 Replies
1K Views
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap...
6 Reactions
32 Replies
572 Views
Habarini Wadau, Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:- 1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata...
16 Reactions
207 Replies
50K Views
Haya mapenzi au uzuzu? unakuta mwanaume anaosha vyombo mke katulia mwanaume anachambua tembele mke-" katulia kuna jilani yetu hapa anaosha vyombo mpaka kufagia hv mwanaume hana kauli hata wazazi...
1 Reactions
0 Replies
88 Views
Binamu yangu simuelewi, eleweni hivi. Nakumbuka kabla hajaolewa tulikuwa na utani wa kawaida, ila sasa kaolewa Zenji. Juzi kanunua simu akaomba namba yangu, akanipigia akisema amenimiss. BINAMU...
6 Reactions
48 Replies
908 Views
Katika pita pita zangu nikakutana na mdada mwenye shepu ninazozitaka, ile kumwangalia tu nikajikuta nakosa pumzi. Uzalendo ulinishinda, ikabidi nimwambie mdada mmoja nilikuwa naye karibu...
13 Reactions
105 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha...
28 Reactions
80 Replies
12K Views
Wanazengo naombeni msaada, huyo kwenye picha ndo Khadija wangu nampendaaa sana, huyu Binti ndo kila kitu kwenye maisha yangu, Tangu ameniacha mara kadhaa nimejaribu kujfanya kila namna ili...
3 Reactions
13 Replies
298 Views
May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko...
8 Reactions
68 Replies
4K Views
Kwanini upo single? Mapenzi yamekushinda? Hujaona faida yake? Au upo single kwa sababu maalum? Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje? Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi...
15 Reactions
457 Replies
4K Views
Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje? Utajisikiaje?
9 Reactions
167 Replies
2K Views
Mapenzi ni hisia na si hela; kama unatoa hela juwa ya kuwa unanunua huduma. Kama mwanaume unayejitambua, jitahidi sana usiingie kwenye huo mfumo wa wadada wanaopenda kuhongwa ili kukupa huduma...
8 Reactions
71 Replies
896 Views
UNASIKIA MAUMIVU MOYONI KIASI CHA KUTAKA KUVUNJA NDOA YAKO..? Salam.. Maisha ni mafupi sana hapa duniani, epuka kufanya vitu kwa kurudia-rudia. Jizatiti kabla ya kuingia kwenye ndoa...
4 Reactions
8 Replies
217 Views
In a year jitahidi umtoe Vacation demu wako / wife ukampige miti Dubai ukishindwa hata Serengeti . Kuna special bond mtazidi kuitengeneza
6 Reactions
43 Replies
556 Views
*kama unaweza kuoa mwanamke mwenye miaka 40 , hushindwi kula chakula kilicho chacha" Anamaana Gani mzee huyu msomi , na mwenye hekima nyingi?
4 Reactions
9 Replies
165 Views
Mke analindwa au anajilinda? STORY YANGU FUPI Nakumbuka juzi nilipata kazi, ikabidi nikakae kwa rafiki yangu kutokana na umbali wa ninapokaa na nyumbani ili niwahi kufika kazini. Nikapanga...
4 Reactions
52 Replies
922 Views
Jamani unakuta mkaka kapendeza jeans, raba na anawaka waka sana, Lakini nimeshangaa ndani kwanza boxer imefubaa, alafu anavua kwa kuficha ficha kwanini msinunue nyingine ni sh ngapi Karume...
6 Reactions
220 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…