Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakuna faida ya kubadilisha wanaume kama nguo maana kumbuka kadri miaka inavyozidi kwenda thamani yako inapungua huku thamani ya mwanaume ikiongezeka. Ndio maana utaona mzee wa miaka 60 akioa...
22 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari za mda huu wakuu Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,Poleni na mihangaiko ya kuhangaikia mikate yenu ya kila siku kuhakikisha Familia zenu zinapata mikate ya kila siku. Narudi kwenye Mada Nina evidences zaidi ya 10 naona wake za...
10 Reactions
106 Replies
13K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari, Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake. Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo...
31 Reactions
115 Replies
7K Views
Unajua kwanini wazee wetu waliishi umri mrefu na wa furaha? Ni kwa sababu mtazamo wao kimaisha ulikua tofauti na sisi. Waliishi maisha simple tu. Mfano, pale kijana anapofikia umri wa mtu mzima...
40 Reactions
94 Replies
4K Views
Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari zenu wana MMU 👋🏽 👋🏽 Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari.... Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa. Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika harakati zangu za ubaharia , uvushaji, uchakataji na hata kuwanafikia hawa viumbe na muda mwingine kudate nao nimegundua mambo kadhaa 1: Usidate wala kufungamana na mwanamke anaye amini na...
58 Reactions
95 Replies
8K Views
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress. Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
𝗠𝗝𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗔𝗞𝗨𝗨𝗦𝗜𝗔 Kama uchumi wako uko vizuri tafuta mwanamke atakayetulia nyumbani akulelee familia yako, ikiwezekana hata sokoni nenda mwenyewe, Hawa wanaotaka haki sawa mtoke wote asubuhi...
8 Reactions
11 Replies
680 Views
Hali iko hivi: kuna mwanamke mwenye umri wa miaka 28, mke wa mtu, ambaye tumekuwa tukichati naye. Aliniambia kuwa atanipa penzi muda ukifika, nami nikakubali. Baada ya hapo, nilijikita kwenye...
16 Reactions
136 Replies
5K Views
Habari wanaJukwaa .. Nahitaji tupate uzoefu kutoka kwa wale waliotutangulia kwenye hili suala la Engagement. Wewe na mchumba wako ni mambo gani mlizingatia katika hiyo siku kwa kuanzia na mavazi...
2 Reactions
12 Replies
765 Views
Je, ni sahihi kuwasiliana na ex wako au kuwa na namba yake kama upo kwenye ndoa Au mahusiano?
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nilifanikiwa kuwa kwenye mahusiano na mkaka mmoja hivi mwenye umri wa miaka 30. Tulipendana kwa mtazamo wa macho ya nyama. Ila maisha yalibadilika...
3 Reactions
5 Replies
936 Views
Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Alinifata akiniomba msaada nimpe sehemu ya kujihifadhi, ndani ya siku 5 jasusi nilikuwa nimeishausoma mchezo, Manka anasoma game jinsi atakavyonipiga tukio, ilinibidi nipindue meza haraka sana...
3 Reactions
7 Replies
703 Views
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao...
56 Reactions
257 Replies
14K Views
Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano • Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu)...
6 Reactions
6 Replies
551 Views
Back
Top Bottom