"Kwa nia njema kabisa ya kuitunza amani ya moyo, usitafute kujua kila kitu"
Ni jambo jema kujua ukweli wa mambo kwa marefu na mapana, lakin kuna baadhi ya mambo acha yakupite Tu ili kutunza amani...
Watoto wana vituko sana mda mwingine unaweza piga uue mfano huyu wangu aliondoka na rimoti mpaka shuleni tafuta limot tafuta haionekani kaja toka shule kakuta watu wanatafuta rimot ndio anasema...
Friendship meaning Communication/Sharing pasipo stori hakuna urafiki mtakuwa mnasomana tu, sijui hili jambo ni kwa wanawake wote au laa unajaribu kumfanya mpenzi wako kama rafiki yako.
Una-share...
Soma kwa makini sana,
Mtu ameshuhudiwa kumjua Mungu amekubali ameokoka na anawake wawili au watatu wote amewatolea mahari, kwao anatambulika na wake nao wamekubali kuokoka, wote wake zake na...
Wakuu poleni na majukumu ya kujenga nchi..
Nimekuja kwenu kama mwana Jamii Forums nikiwa na uzoefu wa takriban miaka 10 na huu mtandao wetu pendwa unatusaidia kwenye mambo mbalimbali kwenye...
Habarini za Wakati huu Ndugu zangu wanajamvi letu pendwa. Ni siku nyingine tena na fursa nyingine ya kupambana iki kuhakikisha mkono unaenda kinywani. Katika jamii zetu ambazo zimedumu toka enzi...
Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini.
Nakumbuka siku...
Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za...
Sina maana hiyo mmayofikiria nyie, nimelazimika kufanya hivyo ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi.
Bujibuji Simba Nyamaume Yas
GENTAMYCINE Yas
Chaliifrancisco Yas
Scars Yas
Greatest Of All...
Habari wanajukwaa.
Huwa sipendi kuweka mambo yangu ya mahusiano wazi lakini hili limekuwa gumu nisaidieni
Kama nilivyoandika hapo juu:
Yangu nikiwa ndogo wanawake wadogo Kwa wakubwa wamekuwa...
Ukiona mwanaume anaponda kunyonya uke kama sehemu ya kibwagizo cha shoo za kibabe na shoo za kinyamwezi ujue huyo mwanaume hajui emotions za physical and romantic touch.
Mwanamke anaejielewa...
Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto
Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana.
Kama...
Wakuu habari.
Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!.
Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa...
NDOA: Ni makubaliano ya muingiliano utakaohusisha hisia,
Muingiliano utakao husisha miili ya watu wawili walioamua kuanzisha Familia ya Baba na Mama..
Kwa maridhiano ya wazazi wao...!
Je ndoa...
Salaam waungwana wote,
Kwa kweli katika kitu najuta maishani ni kumpenda huyu mtu, nimekua nae kwa miaka 7 sasa, niseme tu nilimkuta hana kitu kabisa sikujali kitu nilijali mapenzi, tukaanza...
Habari zenu wapendwa,
Natumai ni wazima kabisa na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa
Kijana uwe wa kike au wa kiume ni lazima uijue japo kwa uchache elimu ya maumbile ya ndani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.