Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje.
Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
Wakuu,
Liliwahi kukuta jambo mpaka ukawaza na kuwazua ilikuwaje ukaingia kwenye hayo mahusiano au ndoa?
Ilikuwaje? Bado upo huko au ulishabwaga manyanga?😅
MASWALI MUHIMU UNAYOTAKIWA KUMUULIZA SINGLE MOTHER KABLA HUJAFANYA MAAMUZI MAGUMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Post hii usije ichukua kama nimekuambia Kaoe single mother. Nope! Mimi kama...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu...
Habari za muda wakuu,
Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF:D
Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye...
Wadada wenye makebo makubwa, wamepanda bei, wamepanda mashetani ya visirani na viburi, mnahangaika nao sana kwa ajili tu ya minyama yao.
Mdada mwembamba hata ukimwambia sina pesa anakuambia wiki...
Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na...
Congole kwenu mmebadilisha upepo wa awal wa kuzalishwa nyumban kwa sasa mnafosi muishi wote na wanaume japo weng bila ndoa kikubwa ukae na mumeo uzalie humo humo hii inaitwa sogea tuish
Saf...
Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano
1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano...
Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa.
Ni noma sana!
Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana...
"Nilifanya agano na macho yangu, basi nawezaje kumwangalia msichana?"
Ayubu 31:1.
Wakati na meditate hili fungu,
Ayubu anamaanisha nini?
Tusiwaangalie wasichana? Wakati yeye mwenyewe binti zake...
Habari ya wakati huu Wakuu,
Naomba Niongee na Wanaume,
Usioe wala Kudate na Aina Hii Ya Wanawake Utajutia..
1. Feminist
Anaetamani kuwa juu wanajifanya wanapambana sana na maisha
...
If a woman is supporting you, support her .If she loves you, love her . No man who sits and gets gift or support from a woman will fold his arms and not treat her right .
My fight is against...
Never, ever, under any circumstances say these things to a woman.
Number one. I will never leave you or I can't live without you. If you want to experience a nightmare, then say that to her...
Kuna kosa ambalo vijana wengi huwa tunalifanya tunapoanza mahusiano.
Tunakutana na msichana leo, kesho tayari tunaanza kuishi kama mume na mke kiakili. Kila muda ni simu hasa nyakati za...
Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee...
Mimi sina kabisa ratiba ya kwenda kanisani. Nikienda kanisani basi kuna event yenye umuhimu wa kuwepo mfano kipaimara, kumunio ya kwanza, ubatizo wa mtoto wa ndugu wa karibu au ndoa ya ndugu au...