Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Ndugu wana JF,

Niliwahi kuleta uzi hapa kipindi cha nyuma kidogo mwaka jana kuomba ushauri kuwa mume wangu hashughuliki na chochote cha ndani hanunui sukari ila anataka kunywa chai, akininunulia kitu anadai nimlipe pesa yake nikasema hata unyumba amekuwa mgumu kunipa.

Tumekaa muda mrefu bila kukutana kimwili ila tulipokutana akatoa vishahawa vidunchu sana nikamuuliza una wanawake wengine, nikambana sana ndo akaniambia yeye huwa anapiga mastabation sasa hiyo ni kama imeshamuathiri maana akiniingia anaeza kwenda miondoko 3 akamaliza hanifurahishi hata kidogo na imeshamuathiri sana.

Nimsaidieje aweze kuacha ili tufurahie mapenzi.

Hatuna ugonvi wala hatujawahi kugombana.
 
Piga chini, tafuta mwingine. Kwa nini ukubali kuishi na mtu asiyekusaidia kwa lolote?. Piga chini faster, uanze upya.
 
Ndugu wana jf, niliwahi kuleta uzi hapa kipindi cha nyuma kdg mwaka jana kuomba ishauri kuwa mmewangu hashughuliki na chochote cha ndani hanunui sukari ila anataka kunywa chai , akininunulia kitu anadai nimlipe pesa yake nikasema hata unyumba amekuwa mgumu kunipa. Tumekaa muda mrefu bila kukutana kimwili iku tulipo kutana akatoa vihahawa vidunchu sana nikamuuliza una wanawake wengine nikambana sana ndo akaniambia yeye huwa anapiha mastabation sasa hiyo ni kama imesha muathiri maana akiniingia anaeza kwenda miondoko 3 akamaliza hanifurahishi hata kdg na imesha muathiri sana nimsaidieje aweze kuacha ili tufurahie mapenzi. Hatuna ugonvi wala hatujawahi kugombana
Njoo nikufanyie sampling, labda tatizo ni wewe hataki kikuambia tu!!
 
Kufanya mapenzi yanahitaji maandalizi sio kwake tu, kwa pande mbili ila kwa kuwa wako ni addictive basi wewe ndo uwe mtundu na kumuandaa mwenza wako, kama bae wako anapata shida kukupiga kitu vizuri ni namna ya kucheza na mind set yake, mikogo nakshi nakshi kama kuvaa vinguo vya mtego mkiwa ndani, khanga moja ndembe ndembe, bikins, kuwa na tabia kuugusa uume wake kwa mkono kama una ukanda pia unamkanda mkanda korodani mbona within aweek atasahau sabuni, lotion na picha za ngono kwa kujichua hebu jaribu huo mkakati might be usefull
 
Ameishaathirika kisaikolojia,hapo ni wewe kuamua kumsaidia kumsaidia tu kama unampenda,tafuta mafuta ya ubuyu afu uwe unamuandaa kama mnataka kusex akiwa tayari usiingize kwanza chukua mafuta umchue taratibu kwa mikono yako ili kumhamisha kihisia toka kule kujichua kwa mikono yake,itachukua muda kurudi kuanza kuwa na hisia na mwili wako na ukiona anakaribia kupiga bao unapunguza speed zinarudi afu unaanza tena mpaka anamaliza.
Unaweza kuwa unamfanya anamalizia kwako,zoezi hili ni la kumfanya ahamishe hisia toka mikononi mwake na zihamie kwako na ili ufanikiwe lazima ujitolee nae akubali kusaidiwa,itachukua muda ila inasaidia,mafuta ya ubuyu yanasaidia kuipa nguvu mishipa ya uume.
 
Kuna baadhi nimeshindwa kushauri sababu sijajua alianza kabla hamjaoana au baada ya kuoana na wewe,ukijibu hilo kuna ziada.
 
Ameishaathirika kisaikolojia,hapo ni wewe kuamua kumsaidia kumsaidia tu kama unampenda,tafuta mafuta ya ubuyu afu uwe unamuandaa kama mnataka kusex akiwa tayari usiingize kwanza chukua mafuta umchue taratibu kwa mikono yako ili kumhamisha kihisia toka kule kujichua kwa mikono yake,itachukua muda kurudi kuanza kuwa na hisia na mwili wako na ukiona anakaribia kupiga bao unapunguza speed zinarudi afu unaanza tena mpaka anamaliza.
Unaweza kuwa unamfanya anamalizia kwako,zoezi hili ni la kumfanya ahamishe hisia toka mikononi mwake na zihamie kwako na ili ufanikiwe lazima ujitolee nae akubali kusaidiwa,itachukua muda ila inasaidia,mafuta ya ubuyu yanasaidia kuipa nguvu mishipa ya uume.
Ahsante kwa shule sikujua hili la mafuta ya ubuyu.
 
Ni utayari wake tu,anahtaji kupata darasa la madhara ya kujichua ambayo ni mengi sana,then anahtaji kubadilika kwa yeye mwenyewe kuamua.
Ila duniani watu tunatofautiana sana watu wanahangaika kuoa mpk wake 4,yeye anaopt njia ngumu wakati njia nyepesi na tamu zaidi analala nayo kitandani mh!!!
Ewe mwenyezimungu tusaidie
 
Jitahidi kuwa nae karibu zaidi,usimuone kero .. Ukimuona kero mapenzi yatapungua na the next utam-cheat then utapoteza ndoa yako. Pata muda wa kuzungumza nae kuhusu mambo yenu mliyowahi kupanga kwa pamoja...itawaleta karibu. Jenga desturi ya kumpigia hata kati kati ya siku kumcheck ...Go out sometimes. Fanyeni tendo la ndoa at random places...hata bafuni,na ndo inanoga zaidi. Ndo hivyo inahitaji kujitoa kumsaidia mawazo ya masturbation yasiwepo...awaze K yako tu. Take initiatives kabla hujapoteza ndoa yako.
 
Dear Sister, nakuhakikishia hilo tatizo linatibika, kama upo tayari niPM nikupe namba za doctor wa aga khan uonane naye, si vizuri kuweka namba za mtu hapa public bila ridhaa yake, pole sana ila kama unampenda usimwache, atapona kabisa akitaka!
 
Back
Top Bottom