Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,
nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia...
Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama?
Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka...
Wakuu habari
Mtu anayejiita msomi katika ngazi ya uprofesa au hata Udaktari,anaeaminiwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya mradi fulani wa kufaa jamii kubwa ya watu kama kijiji au hata mkoa au...
Wengi huwa tunashindwa kulitambua hili, hasa pale tunapokuwa wapofu wa huko tuendako.
Ndipo wahenga wakaja na msemo, ukiona nyani mzee juwa amekwepa mishale mingi.
Ikitokea mtu amekuja kwako...
Kama uzi wangu niliyowahi kuutoa kuhusu kukutana na mrembo wa Malta
Niliondoka tarehe 12 February na Qatar air na kufika tarehe 13 Malta airport na baada ya taratibu zote za uhamiaji...
Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity?
Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei...
Kiuhalisia hakuna anayependa kuishi na mwenzi wake mbali mbali, mnapokuwa kwenye mahusino ni muhimu mkawa pamoja, lakini kuna muda inatokea maisha yanawatenganisha kwa muda, katika hali hii ni...
Nataka kujua ndio ujanja, umaarufu, ukisasa, usomi, kiburi, majigambo, majivuno, dharau, umwamba au!!?
Na tena wakati unafanya hivyo upo kwako na mlishajenga pa kuishi na mwenza anakushirikisha...
Na hili huwakuta sana wakiwa wangali bado wana umri mdogo.Kwa mfano jirani kwetu kulikuwa na familia moja Walijaaliwa Watoto watano wa kike, na wote warembo, tofauti ilikuwa rangi tu (complexion)...
Regards wakuu MMU,
there comes a time ambapo baada ya kuzunguka huku na kule finally unajikuta moyo wako umetua kwa mtu mmoja ambaye umetokea kumpenda kwa dhati and God willingly unawish one day...
Last two weeks nilikua na miadi ya kukulana na pisi moja kali sana,lkn ghafla nafsi ikakataa kulana nae..nilivyomwambia demu ghafla akaanza kunichukia eti kwa nini nimekataa kumla nilikua namchora...
Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana…
Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana...
Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na...
Nimekuwaa nikitafakarii sana na kufanya uchunguzi kuhusiana na dhana ya "Wife material" Nimekuja kunguduaa kuwa wanawake wote ambao Wana akili timamu ni wife material inategemeana tu na Mwanaume...
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi...
🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo,
1. Wakati wa kukupa mimba.
2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu.
3. Wakati wa matunzo ya...
Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi.
Eti leo tena nimeachwa
Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini?
Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si...
Wakuu,
Huu ni uzi wa wote, tupeane changamoto mbalimbali tunazopitia sisi ambao bado hatujaoa au kuolewa, au ulioa au kuolewa ukaachika. Hata wewe ambae upo kwenye ndoa ipo siku utaachika hivyo...
Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa...
Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025
Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.