Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 693
- 1,582
Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity?
Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei simu wala kujibu text ila anapost status, and now it has been a month Yani kachanganyikiwa na anaumia sana na hajui kakosea wapi, na walikua hawana ugomvi wowote.